Tetesi: Nyalandu hagombei ubunge!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,145
2,000
Kutoka kwenye chanzo cha karibu kabisa na aliyekua Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini Mh Nyalandu, ni kwamba mwanasiasa huyo anatajaria kukaa na kupumzika kwa muda kugombea ubunge kutetea nafasi aliyoiacha baada ya kujiuzulu na kuhamia CHADEMA.

Pamoja na hivyo, Mh Nyalandu atampisha aliyekua mshindani wake Mh Jumbe ambaye alishika nafasi ya pili wakati wa uchaguzi mkuu 2015 kupitia CHADEMA. Kwahiyo mh Nyalandu ataungana na timu ya mgombea huyo kumpigia kampeni ili aweze kushida ndani ya jimbo hilo.

Huyu jumbe tangu kumalizika kwa uchaguzi 2015 ni mtu ambaye amekua karibu sana na wananchi, kwa sasa anatumia muda mwingi sana kukijenga chama ndani ya jimbo lake na mkoa kwa ujumla. Ushawishi wake umezidi kuongezeka hasa baada ya yeye kuanzisha kampeni ya kuanzisha Benki ya maendeleo ya wananchi wa Singida kwa kushirikiana na wadau mbali mbali.

Kuna kikosi maalum ambacho kilikua ndani ya CCM na kimekua kikihakikisha kua Nyalandu anashida uchaguzi miaka yote.Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiki sasa kimehamishia majeshi CHADEMA baada ya bosi wao kutimkia huko, ingawa yasemekana pia kuna mgawanyiko kiasi flani ambapo kuna wengine walisalia ndani ya CCM ili kumuunga aliyekua katibu wa Mbunge na mwenyekiti wa halmashauri ya Singida vijijini ndugu Digha ambaye mpaka sasa pia ni mtia nia wa ubunge kupitia CCM.
 
Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987

msisingizie sasa baadae tume....
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,440
2,000
Safi sana, kuna uwezekano "gharama yeyote " ilishaanza tumika kwa ajili ya hilo jimbo...

Poleni mabilionea wa Kijani

Nashauri chadema nao watumie "Gharama yeyote" kuukomboa "rasmi" mkoa huo
 
Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,365
2,000
Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,238
2,000
hata chiza mlimchukua ili aje adhibiti kura za lowassa nini matokeo yake hakuna kikosi maalumu wala nini cha muhimu tusubiri matokeo yatakapotangazwa
 
usatrumpjr

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,243
2,000
Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Arusha chadema hata waweke kijana mwenye miaka 18 atashinda tu
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,145
2,000
Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Anagombea Singida mjini 2020 kushindana Mwigulu Chemba.
Jimbo la Singida Kaskazini CHADEMA wamesema kama mbwai na iwe mbwai jimbo haliwezi kwenda CCM. Wanasema hawako tayari kuonewa
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,395
2,000
Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Acheni prooaganda hayo ya 2020 unayajua??? Yaani wabadilishe majimbo kma wanacheza bao??? Hakuna mtu anaweza fanya risk namna hyo

Btw huyo jaffary michael ubunge alipewa tu kwa fadhila za ndesamburo so sio mlafi wa madaraka kma unavyotaka kuonyesha hapa eti washikane mashati na mbowe!!!!
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,145
2,000
Acheni prooaganda hayo ya 2020 unayajua??? Yaani wabadilishe majimbo kma wanacheza bao??? Hakuna mtu anaweza fanya risk namna hyo

Btw huyo jaffary michael ubunge alipewa tu kwa fadhila za ndesamburo so sio mlafi wa madaraka kma unavyotaka kuonyesha hapa eti washikane mashati na mbowe!!!!
Kweli mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom