Tetesi: Nyalandu hagombei ubunge!

Amejitafakari, naona ameona atashindwa kwa kishindo.
Ameona awaachie aibu hiyo chadema wenyewe.
 
Acheni prooaganda hayo ya 2020 unayajua??? Yaani wabadilishe majimbo kma wanacheza bao??? Hakuna mtu anaweza fanya risk namna hyo

Btw huyo jaffary michael ubunge alipewa tu kwa fadhila za ndesamburo so sio mlafi wa madaraka kma unavyotaka kuonyesha hapa eti washikane mashati na mbowe!!!!
Ngoja msema kweli mzee muda
 
Amejitafakari, naona ameona atashindwa kwa kishindo.
Ameona awaachie aibu hiyo chadema wenyewe.
Alienda kikao cha kamati kuu kuwaomba agombee kamati kuu ya Chadema iridhie na kumtangaza lakini kamati ikakataa kwa misingi kuwa chama hakitashiriki uchaguzi wa marudio.Kumpoza wamempa ujumbe wa kamati kuu
 
Dah, jamaa anajuta sasa. Kacheza karata zake vibaya sana!!
Alidhani atagombea kupitia chadema kumbe huko ni wazee wa kuzira!
 
Anajiandaa kugombea urais 2020, kwa hisani ya watu wa Marekani!
akigombea urais, atapata. bora tuwe na mtu mwenye akili na mwenye exposure. tz tunaonekana washamba aisee kwasababu ya watu wengine kukosa exposure.
 
Back
Top Bottom