Nyalandu agoma kutoa katavi kwa AP

Nyalandu agoma kutoa katavi kwa AP

Joined
May 4, 2010
Posts
77
Reaction score
12
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.
 
Usanii wenu wa ki-Kikwete huu... sasa alienda kuwanga
 
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.

Kumbe Lembeli ana interest na Kamati anayoiongoza ndio maana anafanya kila awezalo ili aje Waziri atakayemmudu akishindwa anamsukia zengwe aondolewe wizarani. Alianza na Maige akafuata Kagasheki,tunasubiri kuona zengwe la Nyalandu litakuaje?
 
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.

Naona ataona UBORA kuwaleta WACHINA kubeba NDOVU zote huko KATAVI...
 
Kuna mamlaka ya hifadhi ya Ngoro ngoro kule kuna utajiri mkubwa sana bt wageni ndio ufaidi. Waziri nenda Ngoro ngoro.
 
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.

Hamna kituo wala nini habari haieleweki kuanzia heading yake!
 
Nadhani wangewapa tu, hivi safari yooote hadi S/Africa walikuwa hawajajadiliana mapema juu ya hilo? nani alilipa gharama za safari? kwa Tanzania inaweza tu ikawa danganya toto mzigo huenda ulishachukuliwa
 
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.

Sasa nini kilimpeleka huko?
 
Utasikia akikanusha kusema: "Ni uzushi na upuuzi!" Au kutumia maneno ya Mkapa: "Makaburu..Makaburu nini?..Tunahitaji wawekezaji!"
 
Ama kweli nchi iko sokoni.
Kwanini dili nyingi za mauzo ya rasilimali zetu zinaenda kujadiliwa nje ya nchi.
Yaani kweli Waziri na Mwenyekiti wa kamati wanafunga safari kwenda kuongea na wanunuzi nje ya nchi!!!
Wana nguvu kiasi gani hawa wanunuzi!!!?

Wamenikumbusha yale ya Buzwagi na mkataba kusainiwa hotelini huko ulaya.
 
safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi makaburu hao ya Kuwa ni vigumu kuwapa dhamana Hiyo,Hali iliyomfanya Lembeli kujisikia vibaya sana Kwani yeye ni Memba bodi ya APN ikumbukwe Hawa APN wametimuliwa nchini Sudan na Ethiopia sababu ya ubabaishaji wao.

Huu ni upumbavu na ujinga wa viongozi wetu,kwa nn sasa alienda au alienda kutalii?kaenda kwa gharama ya wananchi,si bora angefanya conference call na kuwaambia haiwezekani.
 
Back
Top Bottom