Nyalandu agoma kutoa katavi kwa AP

Nyalandu agoma kutoa katavi kwa AP

Sasa nini kilimpeleka huko?


Nyarandu! Ni tatizo na yaonekana hajui anachofanya. Hakustahili hata kusikiliza wazo kama hilo. Hakustahili hata kwenda huko SA! Au alidhani kuna chochote mfukoni.

Nasikia yule profesa aliyemfukuza na kutangaza kila chombo cha habari, karudi ofisini kama kawaida na ndiye Mkurugenzi wa idara ya wanyama pori. Yule aliyemuweka sijui kapelekwa wapi!
 
Kama ni kweli, na naamini ni kweli, basi huu ni ushindi wa gazeti jamhuri na wahifadhi wote. Tuliandika na sasa kimetokea tulichodhamiria, yaani kuukwamisha mpango huu. Bila kuwaandika hawa watu, katavi ingeondoka! Lembeli lazima ahojiwe kwanini agawe mali za watanzania kwa makaburu? Naipongeza timu ya jamhuri na wahifadhi kwa kukwamisha upuuzi huu ambao kinara wake ni lembeli. Long live tanzania.
 
Back
Top Bottom