Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Kila fisadi kivuli chake ni chadema anapepewa kwa mafeni na muziki mororo!
Wakati wanaufanya ufisadi wao mlikuwa mmewakumbatia kindakindaki na mkiwaenzi na kuwapamba kwa kila sifa.
Walipotoka nje ya kumbato ndio sasa mnawaita mafisadi ilhali hata kuwagusa hamuwagusi na vyombo vya sheria vipo!
Kumbe ndio maana nyoka wa makengeza aliwaambia mumpeleke mahakamani kwa maana kuna anachokijua...
 
Tunajifunza siku zote lakini hatuujui ujuzi wa kweli.
Kisheria na kulingana na Katiba, mwenye mamlaka ya kuhamisha (siyo kuuza) umiliki wa mali ya umma ni Raisi peke yake kwa kusaini " DEED OF TRANSFER".
Waziri aliyeko madarakani ni mtekelezaji tu. Mjumbe hauwawi.
Kama Mh. Makufuli alikosea katika kutekeleza uhamishaji wa umiliki wa nyumba za umma basi aliyetakiwa kumwadhibu ni Rais mwenyewe.
Chuki binafsi ni dhambi mbele ya mwenyezi Mungu.
Kwanini makosa ya kiutendaji ya Waziri huwa hajiuzulu Rais?
Ni swali la kawaida tu
 
Mwenyekiti Mbowe si alisema Taarifa za Lissu atazitoa yeye Nyingine zitakazotolewa na mtu mwingine tuzipuuze? Naomba tuzipuuze hizi za Nyalandu. CCM siku hizi wanachama hawana platform ya kuongea naona wanatumia platform ya CDM. Kule mwenyekiti na Haraka Haraka pekee yao ndi wanaplatform wengine ongeeni kwenye mitandao ya kijamii tu huko.
Nyalandu ni ndugu wa Lissu jamani ina maana asiongelee kumsaidia homeboy wake
 
Kila fisadi kivuli chake ni chadema anapepewa kwa mafeni na muziki mororo!
kila inapotoka list ya wanaoitwa mafisadi huwa najaribu kutafuta majina ya wana UKAWA hata kwa tochi siyaoni. majina yote yanayotajwa ni ya mijizi kutoka CCM!
 
Mwenyekiti Mbowe si alisema Taarifa za Lissu atazitoa yeye Nyingine zitakazotolewa na mtu mwingine tuzipuuze? Naomba tuzipuuze hizi za Nyalandu. CCM siku hizi wanachama hawana platform ya kuongea naona wanatumia platform ya CDM. Kule mwenyekiti na Haraka Haraka pekee yao ndi wanaplatform wengine ongeeni kwenye mitandao ya kijamii tu huko.
Wapo wanasiasa wachache ndani ccm ambao wamekua neutral kwenye mambo yanayogusa maisha ya watz na taifa kwa ujumla na kwa uchache nawatambua Nyalandu, Bashe, na Nape
 
Wapo wanasiasa wachache ndani ccm ambao wamekua neutral kwenye mambo yanayogusa maisha ya watz na taifa kwa ujumla na kwa uchache nawatambua Nyalandu, Bashe, na Nape
Mkuu naomba umtambue Bashe pekee yake hawa wengine ni chuki na kukosa madaraka. Nape alivyokuwqa waziri ulimsikia na vibwaka? Nyalandu pia nagekuwa waziri usingeona hivi vibwaka mkuu.
 
Mkuu naomba umtambue Bashe pekee yake hawa wengine ni chuki na kukosa madaraka. Nape alivyokuwqa waziri ulimsikia na vibwaka? Nyalandu pia nagekuwa waziri usingeona hivi vibwaka mkuu.
Vyema unenavyo mkuu ila ata hao wawili walau wao wanao uwezo wa kufungua vinywa vyao bila uoga na kuzungumza au kukosoa kwa baadhi ya mambo ambayo hayapo sawa kwa serikali ya chama chao au kwa taasisi yao.
 
Tunajifunza siku zote lakini hatuujui ujuzi wa kweli.
Kisheria na kulingana na Katiba, mwenye mamlaka ya kuhamisha (siyo kuuza) umiliki wa mali ya umma ni Raisi peke yake kwa kusaini " DEED OF TRANSFER".
Waziri aliyeko madarakani ni mtekelezaji tu. Mjumbe hauwawi.
Kama Mh. Makufuli alikosea katika kutekeleza uhamishaji wa umiliki wa nyumba za umma basi aliyetakiwa kumwadhibu ni Rais mwenyewe.
Chuki binafsi ni dhambi mbele ya mwenyezi Mungu.
Kama kweli analijua hilo kwanini asikubali rasimu ya katiba mpya ya jaji warioba ikapitishwa kila MTU akaubeba msalaba wake...na akaachana na Sera ya ccm kulindana kama kweli yeye ni rais wa malofa[emoji2] [emoji2]
 
Kwanini makosa ya kiutendaji ya Waziri huwa hajiuzulu Rais?
Ni swali la kawaida tu
Yooooote chanzo chake katiba mbovu katiba ya jaji warioba ni mwarobaini tosha wa kila tatizo la nchi hii na ndo maana ccm wanaiogopa kama kaswende[emoji23] [emoji23]
 
Kumbuka huyu ndiye atakayempeleka Lissu Marekani siyo Mbowe!
Endeleeni kuotà ndoto za mchana huwezi kumgusa lissu kwa sasa pasipo kuwepo mbowe kati bila mh mbowe lissu SAA hizi angekuwa muhimbili anatibiwa na mitishamba[emoji2] [emoji2]
 
IGP alishapiga marufuku mijadala ya Lissu.
Mbowe alishapiga marufuku taarifa ya Lissu.
Huyu Nyarandu kipi kinamuwashawasha?

Madaktari hawamtibu Lissu kwa dhumuni la kuhakikisha anaimarika zaidi ili asafirishwe Marekani. Dhumuni la madaktari wa Nairobi ni kumponya kabisa Lissu ili arudi nyumbani kuendelea na kazi zake. Hadi sasa wamemfanyia operesheni 15 za kurekebisha viungo vyake mbali mbali vilivyokuwa vimesambaratishwa na risasi. Na kuna uwezekano wa kufanyiwa operesheni zingine kadhaa. Huko Amerika sayansi ya tiba ni hiyo hiyo inayotumika ulimwengu kote ikiwamo Nairobi hospital na Tanzania hospitals.

Ni vyema tukazingatia maagizo ya Mbowe na yale ya IGP. Ni dhambi kufanyia siasa uhai wa binadamu mwenzako.
 
Back
Top Bottom