johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,617
Anasema bado madaktari wanaendelea kumtibu ili kuhakikisha anaimarika zaidi. Pindi hali yake itakaporuhusu kuweza kusafiri basi utaratibu wa kumpeleka Marekani kwa matibabu zaidi utaanza mara moja! Anawasihi watanzania tuishi kwa upendo.