hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,952
- 9,834
Mwenyekiti Mbowe si alisema Taarifa za Lissu atazitoa yeye Nyingine zitakazotolewa na mtu mwingine tuzipuuze? Naomba tuzipuuze hizi za Nyalandu. CCM siku hizi wanachama hawana platform ya kuongea naona wanatumia platform ya CDM. Kule mwenyekiti na Haraka Haraka pekee yao ndi wanaplatform wengine ongeeni kwenye mitandao ya kijamii tu huko.
Alisema mbowe au familia ya lisu ndoo ilisema hivyo?