Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Ana utu na anajua thamani ya MTU,itikadi haimwondolei utu wake
 
Nimesoma post zote hapa. Nasikitika sana mawazo ya Watanzania kuwa hivi. Wengine openly wanafanyia mzaha suala kama hili.
 
Anasema bado madaktari wanaendelea kumtibu ili kuhakikisha anaimarika zaidi. Pindi hali yake itakaporuhusu kuweza kusafiri basi utaratibu wa kumpeleka Marekani kwa matibabu zaidi utaanza mara moja! Anawasihi watanzania tuishi kwa upendo.
Ni mtu wa Mungu huyu. Asante baba.
 
1. katibu mkuu wa chadema alisema tujiandae kisaikolojia
2. shekhe Ponda katika mazungumzo kasema aweza pata kilema cha kudumu
3. mazingira anafichwa sana na kila anayeenda hasema mguu au jeraha likoje
aisee huyu jamaa atakuwa hana mguu nini?
 
Yote Mungu ndiye anajua kikweli. It pains kwa hali yake kwa sasa.
 
Wanaomtembelea Tundu Lissu kila mmoja anataka akirudi atoe taarifa tweeter, Facebook au press comference na habari zenyewe ni za kuchanganya tu haziko clear ni mafumbo mafumbo tu.
 
mkuu vinauma ujue sasa kuna kihoro flani hivi cha mgonjwa wetu
Mkuu mimi mwenyewe inaniuma sana ila pia namuombea sana arudi akiwa salama
Biashara ya kuanza kumnenea mabaya sitaki kuipa nafsi yangu hiyo nafasi
 
images (2).jpg
bdce93df098b15d73f25c7fe1679565e.jpg
Kila fisadi kivuli chake ni chadema anapepewa kwa mafeni na muziki mororo
 
Back
Top Bottom