Mkuu Killa Cam nina mada yake ngoja niitafuteMkuu Mashana Jr ndugu zetu wa kike nao pia wana nyakati ngumu pale wanapo vaa mawigi. Kutoka nywele ambazo kule India wao huziondoa kama kuondoa nuksi lakini huku huzivaa hizohizo nywele kwa urembo. Unaweza kutoa elimu zaidi ya kihoro juu ya hili
Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi | Page 3 | JamiiForums Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawiMkuu Mashana Jr ndugu zetu wa kike nao pia wana nyakati ngumu pale wanapo vaa mawigi. Kutoka nywele ambazo kule India wao huziondoa kama kuondoa nuksi lakini huku huzivaa hizohizo nywele kwa urembo. Unaweza kutoa elimu zaidi ya kihoro juu ya hili
Ngoja nivizie mlinzi alale, ili nimu ibie redio yake.Ndio nimetua kwa dharura😂 Nyakati ngumuView attachment 3469894
(6,447) Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo | Page 7 | JamiiForums Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepoUkiiweka naomba uni tag mkuu