Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

Ni pesa kiasi gani ukiwa nazo zinaweza kuzuia kifo?

Ni hospitali gani duniani inaweza kuzuia kifo?

Ni binadamu gani ambaye alizaliwa miaka ya 1800 bado yopo hai?

Sisi tunaojadili hili tumejipangaje na vifo vyetu? tumejiwekea pesa za kutosha kijitibu maradhi ambayo huenda ndio yatakayoondoa uhai wetu?
 
Mkuu napingana na ww hapo kua marafiki hawakumsaidia uncle J kwenda nje...hivi kweli uncle J kwa umahiri wa utangazaji na miaka yote aliofanya RTD na radio one alikua ni mtu wa kusaidiwa kweli???au ilitakiwa yy tu afanye juhudi binafsi kufika huko kama walivyofanya wenzake akina mzee wa macharanga...tufike pahali watu wakubali kuwa responsible na maisha yao sio kurusha lawama za kijinga kwa marafiki wakati muda na nafasi vilikuwepo...lazima tukubali kuwa ukipanda bange tegemea kuvuna bange na sio mahindi...nawakilisha!!
NA MM NAPINGANA NA WEWE KWA NGUVU ZOTE kwani humjui Nyaisanga (Uncle J)
Si Waandishi wa habari tu waliomsaliti hata hao Matajiri wakubwa hawakumthamini kabisa hasa kwa vitu alivyobuni na kuliingizia shirika husika mamilioni ya pesa.

  • Yeye ndiye aliyekuwa mtangazaji wa kwanza kabisa wa RTD kutangaza DISCO live kutoka BILLICANAS ilipofunguliwa kwa maray a kwanza enzi hizo na nakumbuka ilikuwa kila Ijumaa usiku
  • Yeye ndiye aliyebuni kuziagiza bendi za DRC na za nje kuja kupiga muziki na kutangaza live kwenye redio lakini alipokuja kuliingiza Shirika fulani hasara ya mamilioni ALIFUKUZWA KAZI kwani Bendi hiyo haikuja, na lawama zikamuangukia
  • Nyaisanga keshawahi tangaza mpaka Redio za Dodoma za kina Kifimbo FM na wakati huohuo jamaa yake majura akiwa na Redio hapahapa na asimsaidie
umenisikitisha sana unaposema uipanda bangi utavuna Bangi
Kumbuka binadamu ndio tulivyo,
  • ukijitolea sana WANAFIKI MNAONA WIVU NA KUITA NI KIHEREHERE
  • Mpango mzima ulioubuni ukifanikiwa WOTE MNAJIFANYA NI KAMATI NA MNAMFUNIKA KABISA MHUSIKA
Mauza uza jiulize Mkeo yupo na jeneza pale Leaders Club , na waliomdanganya kuwa MWILI usipelekwe kwanza tumuage hawaonekani na gharama ameachiwa wakati Morogoro walishazibeba ungevuta bangi au mahindi? na kutoka sandukuni huwezi
RIP NYAISANGA
 
Last edited by a moderator:

RIP NYAISANGA[/QUOTE
Mkuu nimekuelewa sana, ila hilo kosa la kamati ya mazishi la leaders hata mm sijapendezwa nalo limenisikitisha sana.mimi nalopinga ni pale mtu anaposema watu hawakumsaidia uncle J rip...umahiri wa uncle J ulikua ni kigezo tosha cha kumpeleka popote bila msaada wa mtu yeyote tatizo bongo wamezoea maisha ya whos know who?na hayo ndo yanawalemaza wengi.Mie nafikiri suala la kufanya kazi nje ni yeye tu labda hakupenda na si vingine...hilo suala la Majura mie sitaki kulijadili hapa but nafikiri labda Uncle J mwenyewe hakutaka kufanya kazi pale..anyway hii ni post yangu ya mwisho kuhusu hii issue tumuache apumzike kwa amani ndugu yetu na rafiki yetu mpendwa..amen.
 
hivi nyie mambulula mmevurugwaa nini. kwa hiyo kama angefia nje ya nchi ndo angeonekana kawini maisha? kuwa nje ya nji haimaanishi ndo kuwa na maisha mazuri sana kuliko walioko nchini. acheni mawazo finyu. wangapi wako nje ya nchi na wanajuuta kuikimbia tz? acheni umbulula.
 
wahandishi wahabari wa kibongo kina Pasco hawatakaa waheshimiwe kamwe..ni vichwa maji + njaa.
 
Last edited by a moderator:
Jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!Mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! THIS SIGNIFIES NOTHING BUT A WEAK FAMILY!!!!!!!

TUKIWA HAI TUJENGE FAMILIA ZETU JAMANI
You nailed it mkuu!
 
Haya niliyawaza wakati ule radio clouds ikimwelezea Nyaisanga (R.I.P) na nikajua ni kutaka umaarufu tu. ................................... Ni heri hata hapa jf mara nyingi wanajamvi walikuwa wanamuulizia sana anko j.
 
Nataka kugonga like mara 2 lakini hairuhusu.

Msiba ni issue ya kifamilia unless mtu alionyesha interest toka matatizo yanaanza. Babake rafiki yangu alikuwa mchungaji wa kanisa maarufu dsm. Akagongwa na gari sayansi. Akalazwa moi icu for 2 wks. Hadi anafariki familia ilimuambia 'askofu mkuu' na matokeo yake mkewe akarusha 150,000/= kwenye tigo pesa na sms ya 'tunawaombea'. Hakuna alieenda kumuombea wala nini. Alipofariki Familia ikapanga na mazishi kabisa. Eti askofu mkuu anaambiwa ratiba anasema ninasafiri naomba msizike hadi ijumaa ili nihudhurie. Aisee wale wapare walisema tu 'tuombee ila tunaendelea'.

Kama familia mkipenda mteremko mtazungushwa hadi mkome. Utaratibu wa familia ulipaswa uwekwe na kuheshimiwa na anaependa kuongeza aongeze within utaratibu!
Jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!Mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! THIS SIGNIFIES NOTHING BUT A WEAK FAMILY!!!!!!!

TUKIWA HAI TUJENGE FAMILIA ZETU JAMANI
 
wahandishi wahabari wa kibongo kina Pasco hawatakaa waheshimiwe kamwe..ni vichwa maji + njaa.
Ni kweli kabisa, uandishi ni noble profession, hatutafuti heshima zaidi ya hii tulio nayo, kazi za heshima zipo!, pia ni kweli sisi wote ni vichwa maji na njaa kali!.
Pasco.
 
Mauza uza said:
Mkuu nimekuelewa sana, ila hilo kosa la kamati ya mazishi la leaders hata mm sijapendezwa nalo limenisikitisha sana.mimi nalopinga ni pale mtu anaposema watu hawakumsaidia uncle J rip...umahiri wa uncle J ulikua ni kigezo tosha cha kumpeleka popote bila msaada wa mtu yeyote tatizo bongo wamezoea maisha ya whos know who?na hayo ndo yanawalemaza wengi.Mie nafikiri suala la kufanya kazi nje ni yeye tu labda hakupenda na si vingine...
Mauza uza na mm naomba imalizie mchango wangu na smahani km nimekukwaza ila ujue tupo pamoja kwa kuwakosoa hawa waandishi na maPedeshee wa DSM hata MATAJIRI na viongozi wa kisiasa.
  • Mauzauza jioni hii nimeangalia ITV kipindi cha Matukio ya Wiki kuna maelezo waliyoyatoa wahusika wote ya maana tofauti.
  • hakuna kiongozi yeyota pale kijijini ila Bw Sagara mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Mara
  • Funga kazi ni Mjomba wake aliposema alifika Kijijini miaka hiyo akamkuta Julius Nyaisanga hayupo yupo Mwanza mjini akifundisha karate (Kung-Fu), akamfuata na kumpeleka DSM kwa Marehemu David Wakati kumuombea kazi kwani J. Nyaisanga aliipenda sana, na akaanza kazi maramoja
    • Nimegundua kuanzia hapo ni Vyeti vilivyomkwamisha kufika ngazi za akina Pasco
    • Angalau angalau hata nje wangemvuta (ni kwa mtazamo wangu nisieleweke vinginevyo Uncle J alikuwa mbunifu si wa kawaida)
RIP NYAISANGA (Uncle J)
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa, uandishi ni noble profession, hatutafuti heshima zaidi ya hii tulio nayo, kazi za heshima zipo!, pia ni kweli sisi wote ni vichwa maji na njaa kali!.
Pasco.
Hapana hapo nampinga matumbo hajui kuna waandishi wengi waliosomea na sio Makanjanja asingemchezea Pasco, alaulizie UDSM au hata mabibo kwani sio alienda kusomea shorthand bali ni LAWS na hao ni wachache sana wanaojua fani hizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom