The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Hawa Wabunge wa Magufuli wajiandae.... 2025 hawarudi bungeni. Ubunge unarudi kwa Masele waliyemzulumu.Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.
Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.
Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.
Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.