NW Katambi: Wapinzani wanataka Tume Uuru ya Uchaguzi kwa sababu tu huwa wanashindwa kwenye kura za Urais

Hahahahahaha.., ww unachekesha kweli. Yaani unamlinganisha Katambi na Tundu Lissu kwenye taaluma ya Uwakili? Ajabu sana. Ni sawa na kulinganisha kichuguu na Mlima Kilimanjaro, Wallah!!!
Nyarandu alimgaragaza Lisu kwenye kamati kuu chadema
 
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.

Kweli☺☺🙂
 
Hakunaga mtu mwenye domo type yake mwenye akili,huo ubunge wake ni sawa na viti maalumu tu
 
Anamaanisha kuwa CCM hawataki tume huru ya uchaguzi kwasababu huwa wanashinda kwa wizi wa kura.
 
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.
Ndio maana gwajiboy alikataa kutumia mic za ajabu Sasa Kama hii iliyotumiwa na utambi wa koroboi itakuwa na hali gani jamani
 
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.

Haja-qualify kuwa wakili msomi.
 
Back
Top Bottom