Kambandefu
Member
- Oct 29, 2013
- 12
- 11
MziziMkavu , swali moja kwako. Je, ni kwanini hayo "mapepo" yaliyomsababishia "mauti fake" bwana EMMANUEL Muhuge Magende, yanaonekana kuogopa sana Kanisa ni siyo nyumba nyingine za ibada?
mm nadhani wanaogopa sehemu linapo hubiriwa neno la kweli juu ya mungu tofauti na kanisa au jumba la ibada kumbuka maana ya kanisa ni wakusanyikapo watu either wawe wachache au wengi himladi wawe wanaabudu na kutangaza neno la mungu hilo ni kanisa tosha hivyo hivyo si lazima jengo kubwa lenywe waumini wengi ianweza kuwa ni sehemu watu wakafunga hema na wakawa wachache wakaanza kuabudu katika roho na kweli na shetani akahogopa sehemu hiyoSwali zuri sana bwana Domhome, embu MziziMkavu tujuze, mbona hawa viunbe huogopa makanisa tuh? Hizi dini zingine kwao wana zionaje?
mm nadhani wanaogopa sehemu linapo hubiriwa neno la kweli juu ya mungu tofauti na kanisa au jumba la ibada kumbuka maana ya kanisa ni wakusanyikapo watu either wawe wachache au wengi himladi wawe wanaabudu na kutangaza neno la mungu hilo ni kanisa tosha hivyo hivyo si lazima jengo kubwa lenywe waumini wengi ianweza kuwa ni sehemu watu wakafunga hema na wakawa wachache wakaanza kuabudu katika roho na kweli na shetani akahogopa sehemu hiyo
kiukweli waliosema raha ya chakula ukile cha moto hawajakosea mzizi mkavu hii hadithi inapungua ladha unavyoileta kila baada ya siku tatu nne ilikua hot bcz unaendelea hapo hapo basi hamu pia ya kuisoma inakua kubwa now unasahau hata iliishiaje kurudia kusoma huwezi yale ya nyuma ushasahau kama yalikua yanakupa wasiwasi wakutaka kujua itakuaje sasa hivi unaisoma tuu bcz ulishainza hata ukiikosa unaona sawa think about it ni vyema uilete full ili uanze nyingine mpya inanoga sana
1: kuhusu mikakati yao ya kuumiza ukristo.............ndugu ningependa ujue swala sio kuumiza au kuumaliza kabisa ukristo hapana hapo swala ni kumaliza imani ya watu katika kumuabudu mungu either uwe mkristo au muuislamu bado shetani atakuwinda tu aktika kila njia hivyo atatumia kila njia mfano mzuri ameonesha upenzi wa mpira juu ya mashabiki badala ya upenzi wa watu kwenda kanisani au sehemu ya kuabudu sasa usiichukulie story kama ilivyo labda walilengwa sana wakristo hapana mfano mzuri mechi ingechezwa ijumaa inamaana wangevuna watu wengi wanaoenda kwenye mechi badala ya msikitini na hata ingekuwa jumamoc au j2 haliingekuwa ni hiyo hiyo.Mh! Unaweza ukawa upo sahihi,ila viumbe hivi mikakati yao ni kuumaliza ukristu ambao ni threat kubwa sana kwao. Na tangia hapo mwanzo hivi viumbe huogopa kutaja jina la Yesu Kristu ila la Mungu wanalitaja kama kawaida. Je hizi dini zingine na viongozi wao si vitisho kwao? Na kwa nini?
1: kuhusu mikakati yao ya kuumiza ukristo.............ndugu ningependa ujue swala sio kuumiza au kuumaliza kabisa ukristo hapana hapo swala ni kumaliza imani ya watu katika kumuabudu mungu either uwe mkristo au muuislamu bado shetani atakuwinda tu aktika kila njia hivyo atatumia kila njia mfano mzuri ameonesha upenzi wa mpira juu ya mashabiki badala ya upenzi wa watu kwenda kanisani au sehemu ya kuabudu sasa usiichukulie story kama ilivyo labda walilengwa sana wakristo hapana mfano mzuri mechi ingechezwa ijumaa inamaana wangevuna watu wengi wanaoenda kwenye mechi badala ya msikitini na hata ingekuwa jumamoc au j2 haliingekuwa ni hiyo hiyo.
2: kuogopa kutaja jina la yesu kristo: kwanza ili upate kuelewa inabidi utambue na kuamini mungu katika nafsi tatu yaani mungu baba ,mungu mwana na mungu roho mtakatifu zote zikiwa katika mungu mmoja ......sasa kulizungumzia jina la yesu ni kuzungumzia kuhusu nafsi ya pili ya mungu ambayo ni mungu mwana na ambayo ndiyo iliyokuwa tiyari kujishusha na kuja duniani kwa ajili ya ukombozi hivyo mungu mwana hakuwa na chochote cha kupewa za idi ya kupewa jina ambalo litakuwa na nguvu kuliko majina yote......hivyo naomba uelewe kuwa jina la yesu lina nguvu kuliko majina yote ndo maana watu wanakemea kwa kutumia jina la yesu......hivyo jua kwamba jina la yesu linanguvu kuliko jina la mungu maana ni zaadi aliyoitoa yy mwenyewe mungu...japo mungu huyohuyo ni mkubwa kuliko yesu
Hii Hadithi ya kutunga sio ya ukweli hakuna Mapepo yanayoogopa Kanisa. Kungelikuwa kuna Mapepop yanaogopa Kanisa basi hata hao Wagonjwa wanaotolewa Mapepo kanisani wasingelikuwepo mkuu tumia akili zako za kuzaliwa. Hii ni Hadithi ya kutunga hakuna ukweli ndani yake.MziziMkavu , swali moja kwako. Je, ni kwanini hayo "mapepo" yaliyomsababishia "mauti fake" bwana EMMANUEL Muhuge Magende, yanaonekana kuogopa sana Kanisa ni siyo nyumba nyingine za ibada?
Hii Hadithi ya kutunga sio ya ukweli hakuna Mapepo yanayoogopa Kanisa. Kungelikuwa kuna Mapepop yanaogopa Kanisa basi hata hao Wagonjwa wanaotolewa Mapepo kanisani wasingelikuwepo mkuu tumia akili zako za kuzaliwa. Hii ni Hadithi ya kutunga hakuna ukweli ndani yake.Swali zuri sana bwana Domhome, embu MziziMkavu tujuze, mbona hawa viunbe huogopa makanisa tuh? Hizi dini zingine kwao wana zionaje?
Hii Hadithi ya kutunga sio ya ukweli hakuna Mapepo yanayoogopa Kanisa. Kungelikuwa kuna Mapepop yanaogopa Kanisa basi hata hao Wagonjwa wanaotolewa Mapepo kanisani wasingelikuwepo mkuu tumia akili zako za kuzaliwa. Hii ni Hadithi ya kutunga hakuna ukweli ndani yake.
Hii Hadithi ya kutunga sio ya ukweli hakuna Mapepo yanayoogopa Kanisa. Kungelikuwa kuna Mapepop yanaogopa Kanisa basi hata hao Wagonjwa wanaotolewa Mapepo kanisani wasingelikuwepo mkuu tumia akili zako za kuzaliwa. Hii ni Hadithi ya kutunga hakuna ukweli ndani yake.
1: kuhusu mikakati yao ya kuumiza ukristo.............ndugu ningependa ujue swala sio kuumiza au kuumaliza kabisa ukristo hapana hapo swala ni kumaliza imani ya watu katika kumuabudu mungu either uwe mkristo au muuislamu bado shetani atakuwinda tu aktika kila njia hivyo atatumia kila njia mfano mzuri ameonesha upenzi wa mpira juu ya mashabiki badala ya upenzi wa watu kwenda kanisani au sehemu ya kuabudu sasa usiichukulie story kama ilivyo labda walilengwa sana wakristo hapana mfano mzuri mechi ingechezwa ijumaa inamaana wangevuna watu wengi wanaoenda kwenye mechi badala ya msikitini na hata ingekuwa jumamoc au j2 haliingekuwa ni hiyo hiyo.
2: kuogopa kutaja jina la yesu kristo: kwanza ili upate kuelewa inabidi utambue na kuamini mungu katika nafsi tatu yaani mungu baba ,mungu mwana na mungu roho mtakatifu zote zikiwa katika mungu mmoja ......sasa kulizungumzia jina la yesu ni kuzungumzia kuhusu nafsi ya pili ya mungu ambayo ni mungu mwana na ambayo ndiyo iliyokuwa tiyari kujishusha na kuja duniani kwa ajili ya ukombozi hivyo mungu mwana hakuwa na chochote cha kupewa za idi ya kupewa jina ambalo litakuwa na nguvu kuliko majina yote......hivyo naomba uelewe kuwa jina la yesu lina nguvu kuliko majina yote ndo maana watu wanakemea kwa kutumia jina la yesu......hivyo jua kwamba jina la yesu linanguvu kuliko jina la mungu maana ni zaadi aliyoitoa yy mwenyewe mungu...japo mungu huyohuyo ni mkubwa kuliko yesu
Hii Hadithi ya kutunga sio ya ukweli hakuna Mapepo yanayoogopa Kanisa. Kungelikuwa kuna Mapepop yanaogopa Kanisa basi hata hao Wagonjwa wanaotolewa Mapepo kanisani wasingelikuwepo mkuu tumia akili zako za kuzaliwa. Hii ni Hadithi ya kutunga hakuna ukweli ndani yake.
Hadithi Mpya ya XMASS hii hapa ninachotaka nipate japo (like 10) ndio nitaweza kuiendeleza nispopata (Like 10) sitoweza kuendeleza kuiangalia bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...2297-hadithi-ya-kusisimuwa-mimba-ya-jini.htmlxmas hamna hadithi?
labda kwa ufafanuzi zaidi ni hivi kwann jina La Yesu lina nguvu kuliko jina la Mungu ? Mungu ni cheo kama ilivyo meneja,mkurugenz nk kwani kila mtu ana mkurugenz/meneja wake also hata kwa Mungu kuna watu wana Miungu yao na wanaiita Mungu etii. Mf;- kuna watu wanaamin Ng'ombe, masanamu,mibuyu,majin,wanaabudu hirizi zao viunoni, na wachina n'k nk
kwahyo hata ktk simuliz hii utaona kuna sehemu kwenye maswali na majbu utaona hao mashetan kutaja Mungu sio shida coz hata wao wana Mungu wao pia kumbuka kuna sehemu wanapata shida kutaja Mungu muumba mbingu na dunia hapo wanapata moto sana sababu yeye Ni Alpha na Omega na ndio Mungu pekee anayeweza kuua Mwili na Nafsi! Na ndio maana kwenye majibizano furani yule kiumbe alimwambia taja jina tu yaani Mungu na si vinginevyo(kuna sehemu mhusika alisema 'Mungu muumba Mbingu na Nchi').
Sasa kama nimeeleza kiasi fulani kwa jina la Mungu nadhan ktk Jina la Yesu kutakua hakuna maelezo mengi
Kwani Yesu lile ni jina lake sio cheo na ndio maana huwez kusikia kuna watu wanaabudu yesu wao -mf Mungu--miungu
na Yesu wakasema Miyesu, Noo kwa wangu upande sjawah kusikia
na ndio maana ukitumia jina Yesu hali si
shwali kabisa upande wao
lkn ukitaka kutumia jina Mungu taja ktk imani timilifu ktk Mungu wa kweli
kwa utukufu wake kuwa ndiye aliyeziumba Mbingu na Nchi, mfalme wa Mbingu na Dunia
hakuna mumgu wa mtu aliyeumba mbingu, hata hayo mahirizi hayauwi nafsi bali ni mwili tu ambao hauna kazi, hapo hapo hata kuumba mkono hayo ma miungu hayajaumba kabisa
nasema HAKUNA!!
Sijui kama nimeeleweka?