Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Kuna watu humu nawaona wamepotea njia, naona wanatoa comments wakati timu yao ipo Uturuki kwenye baridi kali. Hii sio thread ya Uturuki, ni Simba vs URA
Uko sahihi mkuu, tupe matokeo sasa, tunayataka tafadhali.