Dada zetu hawa wakiolewa na Mzungu wanaona kama nyota ya jaha imewashukia. Lakini mimi nikiwatizama wake wengi wa wazungu naona kama hivi.Tunatatizo sana sie binadamu, yaani simply mzungu ndo unaona umeshinda bingo? Kazi ipo
Kumbe ni hapo mufindi...[emoji87] [emoji87]Ni mfinland
Kwanini mkae huku tena miaka mitatuNitakuja huku harusi ni huko halafu huku tunakuja kuishi miaka mitatu halafu ndio huko moja kwa moja
Mtaongea kama mazuzu yasiyona akili mnataka mtu awape baground ehHuyu Kama kweli anaolewa na mzungu wa ufini ndani ya mwezi inabidi awe makini sana. Hususan kama hii ndoa itafanyikia huko kwao. Dada zetu wa Afrika magharibi wanapata tabu sanaaaa. Wanatiwa Hadi na mbwa kwa tamaa zao za fisi. Siku hizi kuna biashara ya viungo pia shauri yako. Unaweza kujiona umeshida bingo ukaishia kwenye pipa la taka mbele huko
Hata hivyo kila la heri.
Haikuhusu upo?????Kwanini mkae huku tena miaka mitatu
Mtaongea nyie mpaka bora unaongea kistaraabuYaani unaingia ghafla kwenye uhusiano na mzungu bila hata kumfahamu? Kuwa makini utaenda kunyang'anywa passport ukawekwe porn star. Nishaona sana hili.
Hapo mzungu ungeboldWajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
NyoooooooooooooHapo mzungu ungebold
Kwani wewe hao wanaokukumbuka wakati washida nini au hao unaowaho gaga nini sio hata gold digger ni wanyonya damu kwa maana wanakupa presha na heartattack so wivu angalia usije ukakuuwa baki hapa tz uchunwe mpaka uziraiHapo unaposema tena mzungu mhmhmhh inaonekana wewe ni gold digger an opportunist
Umepata bwana tuliaKwani wewe hao wanaokukumbuka wakati washida nini au hao unaowaho gaga nini sio hata gold digger ni wanyonya damu kwa maana wanakupa presha na heartattack so wivu angalia usije ukakuuwa baki hapa tz uchunwe mpaka uzirai
Hahahahaha cheupeeeNdio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .