Nurse!

Nurse!

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,934
Huyu Nurse! anapatikana ktk Hospital gan jaman

Mgonjwa anapona kabla ya kutibiwa
44865152a819353ed35e91c24dccce53.jpg
 
Mi hapa naumwa umwa bt naitaji kubudumiwa na uyu Nurse jaman
 
Hii picha inanikumbusha nyimbo ya Gregory Isaacs:

Night nurse
Only you alone can quench this jah thirst
My night nurse, oh gosh
Oh the pain it's getting worse
I don't wanna see no doc
I need attendance from my nurse around the clock
 
Yaani huyu unamweka department ya physiotherapy,(mazoezi ya viungo)wazee watajazana balaa au chumba cha sindano.Kudadeki Sheikh Kipozeo anasema Neema za Allah
 
Naumwa minyege huyo muuguzi anapatikana hospitali gani?
 
Guys stoooop, na sisi madaktari tutapata wapi marupurupu yetu bana, mbona nyie wagonjwa mnataka kutubania ridhiki yetu bana
 
Aisee nimeiangalia hii picha mara mbilimbili nilichogundua hapo mwanamke ni mmoja na huyo mwingine nadhani atakua mwenzetu wa kiumeni,haiwezekani useme hao wote ni wanawake hebu angalia huyo kiumbe jamani,kweli wanawake ni wachache sana wengi wanasindikiza wenzao.
 
heh acha kufuru wewe!!
 
Back
Top Bottom