Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
ha ha ha ur so funny!!Guys stoooop, na sisi madaktari tutapata wapi marupurupu yetu bana, mbona nyie wagonjwa mnataka kutubania ridhiki yetu bana
ha ha ha ur so funny!!Guys stoooop, na sisi madaktari tutapata wapi marupurupu yetu bana, mbona nyie wagonjwa mnataka kutubania ridhiki yetu bana
Ndani kipande cha MTI....uzuri wa mkakasi...?!
Yupi anayezungumziwa hapa? Huyu wa kushoto au wa kulia?Huyu Nurse! anapatikana ktk Hospital gan jaman
Mgonjwa anapona kabla ya kutibiwa
![]()
qumamae jamani naugua lini halafu nesi aje aniuguze.
Vyovyote vile huyu dada ni mrembo.Atakuwa mcheza movie siyo nesi
Hahahaaaaa. Hata Mimi Sijui kwakweliYupi anayezungumziwa hapa? Huyu wa kushoto au wa kulia?
mkuu usisahau kunionesha na kaburi lake,ntaenda na gwajima.Huyo nurse alifariki miaka minne iliyopita nitawawekea Picha Yake wakati anaangaika na ukimwi.