platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Dr niambie unafanya kazi Hospitali gani nije kutibiwa na weweha ha ha ur so funny!!
Dr niambie unafanya kazi Hospitali gani nije kutibiwa na weweha ha ha ur so funny!!
Aisee kweli kipenda roho hula nyama mbichimkuu usisahau kunionesha na kaburi lake,ntaenda na gwajima.
Hahaaa,,, mkuu umenichekesha kweliYupi anayezungumziwa hapa? Huyu wa kushoto au wa kulia?
Kesha ukiomba utasikilizwa!!qumamae jamani naugua lini halafu nesi aje aniuguze.
Daaaaah aisee JF raha sanaKesha ukiomba utasikilizwa!!
Acha wewe!! Kapata UKIMWI leo? Kafa saa ngapi? Dada yupo mzima wa afya hata Jana nimesoma habari zake.Huyo nurse alifariki miaka minne iliyopita nitawawekea Picha Yake wakati anaangaika na ukimwi.
PoaYuko vizuri aisee
Wengine vipofu humu,hawawezi hata kujua daktari ni yupi na nesi ni yupi.Dr niambie unafanya kazi Hospitali gani nije kutibiwa na wewe
Huyu Nurse! anapatikana ktk Hospital gan jaman
Mgonjwa anapona kabla ya kutibiwa
![]()
Aisee nimeiangalia hii picha mara mbilimbili nilichogundua hapo mwanamke ni mmoja na huyo mwingine nadhani atakua mwenzetu wa kiumeni,haiwezekani useme hao wote ni wanawake hebu angalia huyo kiumbe jamani,kweli wanawake ni wachache sana wengi wanasindikiza wenzao.