Mimi Kuna mambo nilikua natamani niwe nayo ,nilipokua nayo nikaona kawaida tu ,nilikuja gundua Kuna vitu Wala hatuvihitaji kihivyo zaidi ni kutaka kuwatambia wengine wasivyo navyo tu 🤔Upambane ili iweje mkuu, ili ugundue nini? Upambane ili uwe na ghorofa na gari kali? Hayo ni matumizi mabaya ya muda mchache uliopewa kuwa hapa duniani
Huhitaji kupambana kwa ajili ya chochote, everything is already in abundance
Unapopambana kichwani unakuwa na scarcity mindset
Usimlazimishe mtoto apate A tu kwenye masomo yote darasani, hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa maisha mazuri na kupata A darasani.
Bado unahitaji ukombozi wa fikra no wonder mwanao naye ameanza kufikiri kuwa na ghorofa ndiyo kufanikiwa maishani
Mkuu,mafanikio unayatafsiri wewe mwenyewe muhusika na sio kusubiri kutafsiriwa na watu wengine,Ila amini usiamini maelfu ya watu wanaamini kuwa na gari ni ishara ya mafanikio
Upo sahihi kabisaMimi Kuna mambo nilikua natamani niwe nayo ,nilipokua nayo nikaona kawaida tu ,nilikuja gundua Kuna vitu Wala hatuvihitaji kihivyo zaidi ni kutaka kuwatambia wengine wasivyo navyo tu 🤔
Tuko tofauti, ila nenda kamwambia mtu ambaye hajala tangu jana kwamba yuko na abundance of everything in this complex world. Umeondoa kigezo cha muda na complexity kwenye kuzungumzia abundance, ambayo Mtaalamu Amartya Sen aliita 'Opulence' kabisa. Ila ukijua complexity zilizopo kwenye kufanya uendelevu, utajua we have limited resources ambazo zinahitaji fikra.Upambane ili iweje mkuu, ili ugundue nini? Upambane ili uwe na ghorofa na gari kali? Hayo ni matumizi mabaya ya muda mchache uliopewa kuwa hapa duniani
Huhitaji kupambana kwa ajili ya chochote, everything is already in abundance
Unapopambana kichwani unakuwa na scarcity mindset
Usimlazimishe mtoto apate A tu kwenye masomo yote darasani, hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa maisha mazuri na kupata A darasani.
Bado unahitaji ukombozi wa fikra no wonder mwanao naye ameanza kufikiri kuwa na ghorofa ndiyo kufanikiwa maishani
Kilimo na ufugaji ukiwa makini unamiliki gari yoyote unayotaka bwashee 😅Kama chanzo si hiki na upo hapa hapa Tz sahau kumiliki hivyo vitu.
Tatizo ni ulimbukeni na lack of exposure.Big up comrade!!
Mawazo ya kimaskini sana ya kuwaza kumiliki nyumba na gari ni mafanikio makubwa maishani!!
Kwa usafiri wa bongo jamani kua na gari ni mafanikio, hivi kuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumiliki gari atathubutu kugombania gari za mbagala/kariakoo asubuhi na jioni deilee 🤣Ila amini usiamini maelfu ya watu wanaamini kuwa na gari ni ishara ya mafanikio
😂😂😂Upo sahihi kabisa
And you don't need to fight for anything. Everything is already there.
Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali.
Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito wana sherehe. Basi nikazurura nae madukani, tulivyotoka nikasema twende upande wa sherehe (tupite karibu na ukumbi kwenda kwenye lile duka lingine la wachina kula upande wa pili). Basi nikapita na mwanangu pale, nje kulikuwa na askari kibao wakiona gari halihusiki wanakuelekeza kupita kwa haraka. Nikawaza kunanini hapa? Maana ukumbi ulipambwa hadi nje.
Mwanangu akaona magari makali yamepaki nje, akaniambia "enhee kama hili". Nikasema sawa mwanangu tutanunua. Oya yeyote aliyefanya sherehe jana pale Mlimani City hall ni tajiri haswa maana nje pale waliweka Fountains za kutosha kwa sample. Halafu ukumbi mzima ulininginizwa taa kwa nje. Wale walinzi as if ni mkutano wa kitaifa. Gari ya bei rahisi zilizopaki nje pale ni la milioni 100 nadhani.
Anyway, nimekuwa inspired na mimi kuwa na maisha ya vile, na nitafika kwa dua za mwanangu maana amesema anaendelea kupiga dua ili mashavu yafunguke nimiliki gari kali na ghorofa. Nikasema Amen!
Kujenga ni kufukia pesa chini , huu ujinga niliufanya kwa masifa tu na sikukosa mahali pa kulala , Sasa nimejengea mijusi na popo😣Tatizo ni ulimbukeni na lack of exposure.
Ndio maana unakuta hata wasanii wetu wakipata hela kidogo, wanaanza kushindana kujenga mijengo mikali na kununua ndinga kali.
Hilo nalifahamu mkuu na ninayaishi hayo. Mimi ni mtu wa ndani, sina muda na mali za kidunia. Zikija Sawa, zisipokuja pia Sawa. Ila siwezi kuharibu muda wangu eti niwaze niwe na ghorofa ndiyo watu waniheshimu au ndiyo nionekane nimefanikiwa.Mkuu,mafanikio unayatafsiri wewe mwenyewe muhusika na sio kusubiri kutafsiriwa na watu wengine,
Mafanikio ni kutimiza malengo uliyojiwekea,mfano ukiwa na Baiskeli ila ukawa una malengo ya kuja kununua Pikipiki,na ukainunua hiyo Pikipiki,basi hayo ni mafanikio kwako,umepiga hatua na umefanikisha lengo lako,
Jambo lolote ukiliwekea mikakati,plani na juhudi kisha ukalitimiza,basi hayo ni mafanikio kwako,
Tusisubiri maisha yetu kutafsiriwa na watu wengine.
Love the life you live
Live the life you love.
Tatizo kuu la WAAFRIKA ni kutambiana tu. Hakuna kingine.Mimi Kuna mambo nilikua natamani niwe nayo ,nilipokua nayo nikaona kawaida tu ,nilikuja gundua Kuna vitu Wala hatuvihitaji kihivyo zaidi ni kutaka kuwatambia wengine wasivyo navyo tu 🤔
Bwashee,kwenye huu uzi naona wengi wanashindwa kujua au kutafsiri neno Mafanikio ni nini?Kilimo na ufugaji ukiwa makini unamiliki gari yoyote unayotaka bwashee 😅
Sawa bwashee ningekuwa nishawaona wakulima kibao waliotajirika, vibali vya kusafirisha mazao napo wanakwepa ndio konakona zenyewe nazozizungumzia.Kilimo na ufugaji ukiwa makini unamiliki gari yoyote unayotaka bwashee 😅
Siyo mbaya weka wapangaji, vile vile kama kweli pesa unayo siyo vibaya kufanya hivyo mhimu tu usiattach hivyo vitu na mafanikioKujenga ni kufukia pesa chini , huu ujinga niliufanya kwa masifa tu na sikukosa mahali pa kulala , Sasa nimejengea mijusi na popo😣
Binafsi naona gari ni mahitaji muhimu ya binadamu ili kurahisisha shughuli zake tu kama zilivyo simu tu , sema Kuna namna kwenye jamii zetu ukiwa na kagari Cha kuzugia wanakuabudu kabisaBwashee,kwenye huu uzi naona wengi wanashindwa kujua au kutafsiri neno Mafanikio ni nini?
Tungeanza kujadili tafsiri ya neno Mafanikio,basi hata kusingekua na mabishano ya kusema kumiliki kitu fulani sio mafanikio au ni mafanikio.
Nina mjomba wangu mmoja ni Mkulima mkubwa wa mpunga, ni tajiri wa kutisha na amepata huo utajiri kwa kilimo tu na aliishia darasa la 7Sawa bwashee ningekuwa nishawaona wakulima kibao waliotajirika, vibali vya kusafirisha mazao napo wanakwepa ndio konakona zenyewe nazozizungumzia.
Binafsi naona gari ni mahitaji muhimu ya binadamu ili kurahisisha shughuli zake tu kama zilivyo simu tu , sema Kuna namna kwenye jamii zetu ukiwa na kagari Cha kuzugia wanakuabudu kabisaBwashee,kwenye huu uzi naona wengi wanashindwa kujua au kutafsiri neno Mafanikio ni nini?
Tungeanza kujadili tafsiri ya neno Mafanikio,basi hata kusingekua na mabishano ya kusema kumiliki kitu fulani sio mafanikio au ni mafanikio.
Kwa mimi mafanikio niBwashee,kwenye huu uzi naona wengi wanashindwa kujua au kutafsiri neno Mafanikio ni nini?
Tungeanza kujadili tafsiri ya neno Mafanikio,basi hata kusingekua na mabishano ya kusema kumiliki kitu fulani sio mafanikio au ni mafanikio.
Kuna content creators wakubwa hapa Afrika nawa fuatiliaga sana Wodemaya na Tayo aina wanaishi maisha safi sana. Wanaweza kwenda nchi yoyote, wakati wowote.Hilo nalifahamu mkuu na ninayaishi hayo. Mimi ni mtu wa ndani, sina muda na mali za kidunia. Zikija Sawa, zisipokuja pia Sawa. Ila siwezi kuharibu muda wangu eti niwaze niwe na ghorofa ndiyo watu waniheshimu au ndiyo nionekane nimefanikiwa.
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa watu wenye mtizamo kama huu wangu au huo wako tunaonekana vituko mbele ya macho ya watu wengi sana hapa duniani ambao wao ni materialistic ororiented.