Nundu kutangaza kujiuzuru kwake?

Status
Not open for further replies.
Watanzania tumeonwa na viongozi wetu kama midoli angalia alivyosema waziri mkuu anataka kutoa uamuzi mgumu na kile alichokuja kuuongea

Watanzania sisi ni mavuvuzela na midoli ya kuchezeshwa akili kwasasa watu wote katika vyombo vya habari na shughuli zimekwama na hakuna wa kuona anapoteza kufuatilia siasa sa Tanzania
"Siasa za Tanzania ni kama ndoto za Alinacha au hadithi za Pwagu na Pwaguzi"

"HAKUNA CHOCHOTE KITACHOTOKEA ZAIDI YA WATU KUPOTEZA PESA/MUDA KWA KUANGALIA/KUFUATILIA KATIKA VYOMBO VYA HABARI NA KAMA IKITOLEWA AWEZA KUWA MMOJA/WAWILI NA BAADA YA MUDA ATAPANGIWA KAZI NYINGINE ILI ASIWE MWENYE KUPOTEZA" NA KAMA BARAZA LOTE LIKIVUNJWA NANI AWEZA CHAGULIWA? KAMA HAO NDO AFADHLI MIONGONI MWA WENGI na kumbuka mawaziri na manaibu wako 60/wabunge wa CCM na wengine ni Wenyeviti wa bunge wa kudumu na wengine wakuu wa mikoa. USISHANGAE MAWAZIRI KUBADILISHIWA WIZARA MAANA HAO NDO AHUENI KATIKA ULAJI KULIKO WALIKO NJE YA UWAZIRI
 
Mkuu N- Handsome unaishi Arusha ?.Kuna jamaa mmoja anakaa mitaa ya Mianzini unafanana naye sana.

avatar8903_4.gif
 
isije ikawa chanzo chako ni mpishi? atakupotezea credibility yako jf

Hivi hizi dharau zidi ya binadamu mwenzako munazitoa wapi imaaana kama ni mpishi hapaswi kuwa source ya habari!?

hata hivyo soma thread nimesha-update....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom