Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Kutoka Dodoma Hotel chanzo changu cha habari kina nijuza kuwa waziri wa usafirishaji ameitisha press conference sijui anataka kuwaambia nini watanzania...
tegeni sikio nitawajuza kitakachoendelea....
=======================
Updates
Anasema bado anatafakari kuhusu hatma ya uwaziri lakini ame claim kuwa innocent. kamtuhumu naibu waziri wake na kamati miundombinu kuwa ilikula rushwa issue ya bandari.....