Nunda (12) - Nunda amtega mwalimu -Mwalimu atukana darasani

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mwalimu wa kike ambae ndie mwalimu wa darasa analosoma Nunda ,siku moja aliingia na mfuko wa matunda na kuwapima akili wanafunzi ,alikuwa akitia mkono kwenye mfuko wenye matunda na kusema nimekamata duara jekundu mwananfunzi huchaguliwa na kujibu epo ,Nunda akaona muda ni mrefu, akanyanyuka na kusema na yeye .

Nunda: Mwalimu na mimi nataka kukuuliza !
Mwalimu: Sawa Nunda haya niulize .
Nunda akatia mkono kwenye mfuko wake wa suruali ---:teeth:

Nunda: kipo duara ,kina kichwa na kigumu ? :confused2: Mdau wa joke una jibu hapa kumsaidia mwalimu ??

Mwalimu bila ya kujua: ''mtoto mshenzi sana wewe!

Nunda akamwambia Mwalimu huko siko umekosa jawabu ni shilingi ,ni duara ni ngumu na ina kichwa cha Nyerere
becky.gif

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom