Mwandishi wa habari: Mheshimiwa rais ungependa watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya Uongozi wako?<br />
JK:Mh..ahaa...a,yah!,"ningependa wanikumbuke kwamba niliwakuta hapa,ntawaacha hapa". Yalikuwa ni mahojiano ya moja kwa moja baina ya waandishi wa habari na mgombea urais CCM 2010,kupitia ITV.