Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
Mhh Mhe Preta salam ama baada ya salam naomba kukujulisha kuwa nimekumiss sana wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Pokea waridi hili na harufu ya Yolanda katika barua hii
Kweli tupu haswa ya huyo mwanamke mpya maana kuna wengine mtaa mzima watajua kuwa una kitu kipya
mimi ni buheri wa afya....napokea ua hili kwa tabasamu na bashasha.....nimekukosa sana katika ulimwengu wangu....
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
dunia ya Mungu ,utajiri ni wa wazungu