NUKUU YA LEO: Ni ujinga. . . .

Ni ujinga kuchukua kamba waenda kujinyonga msituni, ghafla unakutana na simba then unamkimbia!!


Tupiamo yako.
Hata nyani awe mjanja vipi kamwe hawezi kurukia tawi la benki.
Ujinga pia ni pale unapoenda dukani kununua sumu halafu unadai chenchi....
Ni ujinga kufuta namba ya mpenzi wako kwa hasira wakati umeikariri kichwani
ni ujinga kumkataa mwanaume mwenye hela
Kama maisha ni Safari basi kifo ni Castle lite
Kila mwamba ngozi huvutia upande wake...
Ukitaka kujua kuwa maji sio uhai pata ajali ya boti
Hee........mume wangu hajambo anajiandaa kuitwa daddy
Hata uwe msafi vipi kamwe hauwezi kunawa mkono wakati unakula rushwa
Ni ujinga kumnunulia mswaki kibogoyo.......
Hata uwe na heshima kiasi gani kamwe hauwezi kumpokea afande bunduki
Marejesho ni KE mke halali wa Filipo
Halafu nitakuja kumchukua mwanangu
Ni ujinga kulala na underwear usiku wakati umeolewa.
CC: Bishanga................. tafuta mwanamke wewe.

Kwani Bishanga ameachika?
 
Ni ujinga kudhani Morogoro kuna huduma ya Facebook M-PESA.
 

red hapo... Arushaone hayakuhuuu....kopi: Madame B
 
Last edited by a moderator:
hv user name za humu ndani zinanichanganya nashindwa kudifferentiate na ni female na nani ni male

Yaani Boss umeshindwa hata kutofautisha miandiko-hati ya kike na kiume!
Kaa jirani na karoti.
 
Ni ujinga kulala na underwear usiku wakati umeolewa.
CC: Bishanga................. tafuta mwanamke wewe.

Semegi tabu yote ya nini? Kwenda Zanzibar kupitia Madagascar? Si useme tu Chupi? Ita underwear!
Ita pants!
Ita kufuli !
Sijui kabati! Haipadilishi umaana wa Chupi! Chupi ni chupi tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…