Asante CCM
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 346
- 1,301
Madalali wa wali ya umma wanaleta hoja za udini, ukanda, vitisho...ili tu watu wakae kimya.SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.
Alipewa u KM wa chama akasema hata nafasi nyingine yoyote maana hiyo ni kubwa mno, mwenzake akamrushia u KMKSG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru amesema madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA.
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
🤣🤣 Ametema bungoleo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?
Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.
Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
Yaani wewe kajamba nani umtishe Bashiru?!leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?
Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.
Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
Nadhani alirudishaleo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?
Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.
Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
🤣🤣 Unamjua lakini?Yaani wewe kajamba nani umtishe Bashiru?!
Mosi, hakuna kitu kama hicho na pili, Samia hawezi kumfanya lolote Bashiru!Nadhani alirudisha
Heri Nusu Shari kuliko Shari kamili, hali ni tete Watanganyika wamevurugwa!
Huyo kajamba nani a.k.a I.S.?!🤣🤣 Unamjua lakini?
Haya!Mosi, hakuna kitu kama hicho na pili, Samia hawezi kumfanya lolote Bashiru!
Niamini, hata huo Ubunge aliompa hawezi hata kumnyang'anya!Haya!
Enzi zake akiwa KM si ndo walitumia fedha nyingi za umma kwa biashara ya binadamu a.k.a kununua wapinzani?SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.🤣🤣 Ametema bungo
Nimtishe saa hizi usiku ushaingia, sikumtisha mchana kweupe.Yaani wewe kajamba nani umtishe Bashiru?!
Sijui uko upande gani kipindi cha magu ulikuwa ukisema wasafi hawa leo .mama tena msafi kifupi ww uko na serikali hata ikiamua iwe ya mashogaleo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?