Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

Watu wakizoezwa kukiuka katiba huwa nihatari sana...wanataka kufanya mambo tofautii na katiba nivile kamanda alisimama wima!! Najiuliza mkaa hapa angelikuwepo ingelikuwajeee? Anyways hayamambo ni mazito najela si pazuri
Hakika alitumia busara na ujasiri sana
 
INASIKITISHA KWA KWELI. hata hivyo, ndugu zangu, tujiandae kwa vitu viwili au vitatu, hata wale watu wa hali za kawaida na wa hali za chini. cha kwanza, jiandae nini utaachia watoto wako utakapokufa ghafla (ukifikiria hili utakuwa pia na nidhamu ya kuishi, acha dhambi usife mapema), pili, jiandae kufa katika Bwana, ni bora ufe katika Kristo kuliko kufa ukiwa na dhambi (bila kuokoka), mwisho ambalo linafanana na la pili, andaa moyo wako, kwamba ikiwa hautakufa hadi Yesu arudi basi usiachwe.

kuna kitu kingine, achana na imani potofu, imani ambayo hata mitume hawakuwa nayo, unapokuwa mgonjwa, kuita padre (ambaye hata hajaokoka ila ni mshika dini) ati akupake mafuta. mafuta hayasafishi dhambi, unatakiwa kutubu dhambi zako ili usamehewe, kafara la Damu ya Yesu Kristo ndilo linafuta dhambi, sio mafuta yaliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu, Yesu hakufa bure, hakuna mbadala wake. Biblia inasema aziungamaye dhambi zake atasamehewa ila yule anayezificha hatafanikiwa. padre naye ana dhambi zake, akupake mafuta wewe usamehewe dhambi au akupeleke mbinguni si angeyaoga kabisa yeye ili aende mbinguni kulivyo kuzuri? mbona tumekuwa vipofu?

Mwisho, kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa. unaweza kuwa rais, waziri, kiongozi wa dini, askofu n.k, utakuwa personally accountable kwa Mungu, hivyo ni jukumu lako kutengeneza moyo wako na Mungu kibinafsi ukiwa hapa duniani, baada ya kifo ni hukumu hakuna kuombewa na padre ili maiti isamehewe dhambi, never.
 
Aliumwa nini? Kitendo cha kusema nikafie nyumbani kwamba there was no point of return.
labda alianza kusikia harufu ya mauti.....so sad kuna mambo nilikuwa namkubali sana.......mara yangu ya kwanza ilikuwa kusikia rafiki yangu akinambia ...fulani..nasikia harufu ya mauti so sad akafariki muda mchache so painful.
 
Ndiyo maana Samia aliwaondoa wote watatu, Venance Mabeyo, Simon Sirro na Diwani Athumani(DGS). Walikuwa na nia ovu hasa Sirro
 
Hajakosea.

Kumlaumu Mabeyo kwa kumjulisha Majaliwa kwanza ni sawa na kumlaumu Magufuli kwa nini hakuwa karibu na makamu wake zaidi ktk ishu ya ugonjwa wake kuliko akina Mabeyo!
Kwanza namsifu Mabeyo kwa kufunguka kwa kiwango alichofunguka.

Asingefunguka alivyofunguka, baadhi ya mambo yangebaki kuwa ni hearsay tu.

Na si mtu aliyefunguka kwa kusikia tu maneno kutoka kwa watu. Ni mtu aliyekuwepo mpaka sekunde ya mwisho wakati marehemu anakata roho.
 
Walijua ni mwanamke na upokeaji wake wa taarifa za msiba ungeweza usiwe na uvumilivu kama kwa wanaume!!

Kumuita na kumwambia leo mzee kaandaa sherehe ikulu! Halafu ndiyo anapewa ujumbe
Wapi ww, hicho kifo si kilikuwa taarifa zake zimejaa kwenye mitandao ya kijamii, na huyo makamu wa rais ni bingwa wa kusoma motandao. Au mnadhani alikuwa fala za hivyo wa kutojua chochote? Taarifa za kifo chake zilishika Kasi siku tano kabla ha kutangazwa rasmi na serekali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…