mwakajingatky
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 555
- 909
ππ na kuwe na tumadirisha tudogo au hamna kabisaa..bahati mbaya ulale ugenini
Sent using Jamii Forums mobile app
Protein cause indigestion!!!! Over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha viazi vitamu ndo komesha mkuu...waweza hisi kuwaka motoπ π,ongeza na viazi mviringo
mbu wote lazima wakate roho fasta sana
kwa mara ya kwanza utajionea skeletoni ya mbu.Hahaha...sio kukata roho tuu mkuu,na kukauka hapohapo ππ
kwa mara ya kwanza utajionea skeletoni ya mbu.
hahaha
π πnyie viumbe inakuwaje tena, nimefungua ili nione nione hiyo nuclear recipe matokeo yake nakutana na..........
hapo upite kijiweni uchukue karanga mbichi mixer na vidagaa..
Buuum...π₯π₯π₯πππ