Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Wanaendesha timu kienyeji, wanachojua wao ni kusajili kwa kelele tu, baada ya hapo kimya, utasikia mchezaji fulani hajalipwa mshahara, mara wengine wanalalamika wamesuswa hawalishwi vinono kama wachezaji wanaotoka nje.

Yanga waache wenge la kulazimisha kufanana na Simba, watulie wapange mambo yao klabuni kwanza, baada ya hapo ndio wajiulize kwanini Simba iko nafasi ya 12 Afrika wakati wao wako nafasi ya 88.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…