Ntatuma vp hii movie!?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu naomba kujuzwa ntatuma vp movie kwenda nchi nyingine(uphilipino) je naweya tumia email na nieanyaje.Nawasilisha!
 
Ukubwa wa faili una-matter sana, attachments za email zina limitations. Jiunge na file sharing web ambayo na huyo unayetaka kumtumia ajiunge pia, wewe una-upload yeye ana-download.
 
Pia unaweza kutumia torrent.Hii ni njia rahisi zaidi kwani huingii gharama za kuapload.Ingawaje utatakiwa uwe online muda wote mpaka atakapomaliza kudownload....
 
Pia unaweza kutumia torrent.Hii ni njia rahisi zaidi kwani huingii gharama za kuapload.Ingawaje utatakiwa uwe online muda wote mpaka atakapomaliza kudownload....

anko kwahyo hii torent natakiwa kuwa na account au! Ni free ktk application zake?
 
Ni m ovie gani hiyo?
Kama ni ya Kizungu basi Itaje tu jina uonyeshwe nji sahihi ya kumtuia link ya torrent apakue huko alipo
 
anko kwahyo hii torent natakiwa kuwa na account au! Ni free ktk application zake?
Nifree of charge just download bittorrent..install kisha kuna mahala panaonyesha drug and drop your file...kisha fuata maelekezao ikishamaliza itakupa link..copy na mtumie hata kwa chat facebook..akiifungua basi anavuta mzigo kutoka kwenye computer yako..ila naye lazima ainstall hako kaprogramme
 
Au unaweza kuiweka kwenye Dropbox kisha unamtumia link na yeye anipakua bilashida yoyote
 
Back
Top Bottom