Ntapata wapi mashuka ya rangi hii wadau?

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,984
VB.jpg
 
Nikawaza; hivi ingekuwa nimetoka kazini, kichwa kinauma kwa sababu, Wamenitumbua. Ghafula nilipoingia home nkaukuta mzigo huu umejianika kihivyo kitandani kwangu. Ntakumbuka nimetumbuliwa kweli?? Sizani
wanaume mmetofautiana sana daah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom