Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,883 Reaction score 165,126 May 24, 2011 #1 Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, je ni wapi kwa DSM naweza kuipata miwani hii ili niinjoi zaidi matangazo yanayorushwa kwa 3D?
Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, je ni wapi kwa DSM naweza kuipata miwani hii ili niinjoi zaidi matangazo yanayorushwa kwa 3D?
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,857 May 24, 2011 #2 Nenda Mlimani city, kuna duka la sony pale, jaribu kuwaulizia. Ila sasa inategemea aina (brand) ya tv yako.
Nenda Mlimani city, kuna duka la sony pale, jaribu kuwaulizia. Ila sasa inategemea aina (brand) ya tv yako.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,883 Reaction score 165,126 May 24, 2011 Thread starter #3 X-PASTER said: Nenda Mlimani city, kuna duka la sony pale, jaribu kuwaulizia. Ila sasa inategemea aina (brand) ya tv yako. Click to expand... asante sana kaka kwa ushauri
X-PASTER said: Nenda Mlimani city, kuna duka la sony pale, jaribu kuwaulizia. Ila sasa inategemea aina (brand) ya tv yako. Click to expand... asante sana kaka kwa ushauri