charminglady unataka uwe nao wangapi? wewe si ni Bujibuji jamani? Mwache Mentor aendelee na kumtafuta wa kumfaa
Well said,hilo nalo neno ila wa hivyo labda umtengeneze wa kwako
Mentor too much theories bana just amua and utaona.
hivi huoni dada zako jamani tunavyoish ama unafikiri tuliondoka home na akili za mama ama mama yetu ndo alilea kwa maadili pekee??
kumpata unayemtaka kwa kupitia macho na maneno ya watu utasubiri sana rafiki weka kitu ndani ujionee mwenyewe
Nami namtafuta, Mentor. Ukimpata, nitumie pepa nipige chabo.
Asnam, "It is good to test a man for sometime, but dont keep him waiting for that long" - Smile.mbona tupo wengi tu tatizo unapenda kutembelea yutch club.
charminglady..ndo nini tena hiki sasa!?? hata vetting haijaanza?
Baba, ni kweli MwanaFA alisema, "..kata mgomba uufiche"
Dada wewe...kwakweli zaidi yako, dada wa Kinondoni na wale wadogo home aisee sijaona mwingine...ntafutie basi awe mwalimu/mwanasheria/dokta!!!:A S shade:
Heee Ummu, hapo si ni sawa na kukanyaga bomu and expecting halitakulipua wangu!??
Haha...i will buddy. And likewise ukimpata kabla yangu nijue tu hiyo familia aliyotokea huenda ana dada yake.
Asnam, "It is good to test a man for sometime, but dont keep him waiting for that long" - Smile.
-mbona muda wote huu nakutongoza unankataa leo ndo unajifanya mpo!???
Acha sifa wewe!!Nipo hapa Mentor
Tembeza PMs kwa jamii Forums madames, ni ideal tu!
Mentor nimekuuliza hivi wafikiri mim na dada zako pekee ndio tuliokuzwa kwa wamama wenye maadili?? je kwann huamini kwamba kama mama yako alilea dada zako wakawa bora basi, hata mama wa wengine wamefanya hivyo kwa watoto wao wa kike??
kwanza nimeshagundua ukimpata mtu clean sana hutakuwa na challenge so hutoyajua maisha, pata mtu ambaye atakufanya utumie akili ipasavyo
Shindwaaaa.... tena shindwa kwa jina lako. Ndo nini kutaka kunipeperushia ndege wangu???
Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili
- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya
- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga
- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?
- au nani sasa??!
Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili
- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya
- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga
- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?
- au nani sasa??!
Hapo umemsahau charminglady , au hujaona hitaji la moyo wake?
Kama ni wewe basi someone 'MUST HAVE WIFED YOU'. Huwezi kuwa single!
hahahaha Mlimani City penyewe napiga window shopping sembuse Italy,hebu niweke ndani usiwe na wasiwasi tutafanyia shopping k/koo na karume.Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili
- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya
- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga
- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?
- au nani sasa??!
Hapo umemsahau charminglady , au hujaona hitaji la moyo wake?
mmoja kati yetu utazipata hizo challenge madame anazokuambia ha ha ha!!!!!!!!!
Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili
- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya
- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga
- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?
- au nani sasa??!
Hiki Kizungu jamani.... Kha! Imenibidi nisome nikiwa karibu na feni na kipande cha barafu mdomoni. Hakyamungu!