Ntampata wapi kama huyu...

Hiki Kizungu jamani.... Kha! Imenibidi nisome nikiwa karibu na feni na kipande cha barafu mdomoni. Hakyamungu!
 
kumpata unayemtaka kwa kupitia macho na maneno ya watu utasubiri sana rafiki weka kitu ndani ujionee mwenyewe
 
Ndo nini hiki? Tueleweshane aiseee..mi naona maandishi tu!
 
Nami namtafuta, Mentor. Ukimpata, nitumie pepa nipige chabo.
 
Last edited by a moderator:
Mentor too much theories bana just amua and utaona.
hivi huoni dada zako jamani tunavyoish ama unafikiri tuliondoka home na akili za mama ama mama yetu ndo alilea kwa maadili pekee??

Mentor anasubiria aoteshwe na Mungu nasikia anasali pale kanisa la naniiiiii
 
Ndo nini hiki? Tueleweshane aiseee..mi naona maandishi tu!

kwa kayumba yangu ya chini ya mwembe anatamani ampate mke ambaye atampenda kwa dhati,kumfariji na kumsaidia kwenye shida na raha eeeeh nimekwama hebu ngoja nimuite aje hapa................Mentor.
 
Shindwaaaa.... tena shindwa kwa jina lako. Ndo nini kutaka kunipeperushia ndege wangu???

hebu pigana kufa na kupona hapa Bujibuji anakuletea kauzibe hapendi maendeleo yako kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…