Ntakufaje mzima?

Jamer winner

Member
Aug 9, 2011
22
0
Daktari mmoja alikuwa mlevi mpaka ikabidi apelekwe kwenye sektarieti ya maadili na mahojiano yalikua hivi; kiongozi:kwanini unalewa kwa kiwango hicho wakati unajua madhara ya pombe! daktari:asante sana,hivi unajua wote tutakufa sasa kwanini nife na mapafu na maini mazima?
 

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,588
1,500
mmmh... huyu sidhani kama alikuwa daktari ila muhudumu wa Mochwari!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom