Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 621
Mkuu Mzee wa Rula
Natumaini umesikia sheria imeshasainiwa na Mheshimiwa Rais wa JMT kwa maana hiyo hii sasa ni sheria kamili hakuna tena ujanja kama uko ndani ya ajira tegemea kupata mafao yako baada ya kufikisha miaka 55 au 60 upo mkuu wangu.Jiulize miaka 60 utaifikisha lini ?,
Ina maana Ngongo....hata nikifukuzwa au kuacha kazi leo nikiwa na miaka 30 siwezi kwenda kuchukua changu??