NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

Status
Not open for further replies.
MD kwenye interview ya
maofisa? na wahasibu wasaidizi!? Assistance accountant?DAU acha ujinga.
Achana na udini. BARLOW. anakuita.

Ramadhan Dau amekuwa akisikika mara nyingi akisema enzi za wakristo kula zimepita maana walikula sana enzi za awamu ya kwanza!
Nadhani anazidi kupigilia mstari kuwa hawa jamaa hata wakienda shule, upuuzi hauwaishi!
 
Join Date : 14th October 2012

Posts : 12

Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0

Karibu sana jamvini Mkuu,lakini tarehe yako ya kujiunga hapa inanitia mashaka kuwa umetumwa kueneza kitu fulani hivi kwa maslahi ya watu fulani! Anyway si huwa wanaitwa hawa waislamu wazee wa ubwabwa na madrasa vipi hao waliopata kazi wamesoma kweli umeangalia vyeti vyao vizuri?
 
Mwisho wao utafika tu.

Huna cha kujivunia zaidi ya Waislaam katika nchi hii. Kuanzia haraati za kudai madaraka mpaka utawala wa leo hii ambao huna kimoja ambacho utasema hawajafanya vizuri zaidi ya utawala wowote ule wa kabla. Ni kipi? nakuhakikishia huna.
 
Ramadhan Dau amekuwa akisikika mara nyingi akisema enzi za wakristo kula zimepita maana walikula sana enzi za awamu ya kwanza!
Nadhani anazidi kupigilia mstari kuwa hawa jamaa hata wakienda shule, upuuzi hauwaishi!

Huo ni uongo na uzushi, Dau hakuanzia kazi NSSF, wadanganye wasio mjuwa.
 
Tafuta hotuba ya Mzee Mwinyi aliokutana na wazee wa Dar. Diamond Jubilee maarufu hatuba ya mikuki miwili, Halafu utajuwa Mwinyi aliikuta nchi hii vipi kutoka kwa Nyerere.

Ilikuwa hakuna chochote, mpaka benki kuu ilichomwa moto kabla ya Nyerere kukabidhi madaraka, wizara ya mambo ya ndani nayo ikachomwa moto. Au huyajui hayo?
 
Nimeshaisikia hiyo hotuba siku nyingi. Kulikuwa na sababu zilizopelekea Mwinyi kuikuta nchi katika hali mbaya ya kiuchumi. Tulikuwa vitani na silaha zote tulinunua fedha taslimu. Lakini yeye badala ya kutoza kodi, pato kubwa la serikali, akawaachia wafanyibiashara na kampuni za kigeni kwa misamaha ya kodi. Hapo hapo viwanda ambavyo vilikuwa vinailetea serikali pato, kama vile Breweries wakapewa Makaburu kwa bei ya chee. Ni Mkapa ndiye aliyeshupalia kodi na kuanzisha TRA na mpaka wakati anaondoka mamlakani alikuwa na fedha za surplus ambazo Kikwete amekuja kuziteketeza kwa safari zake zisizo na tija. Swali langu bado ni lile like: leo uchumi umepanuka kukiwa na mapato ya utalii, madini na gesi, lakini mbona serikali bado imefilisika? Tafakari.
 
Umenena. Tazama TRA itavyoanza kupondwa hivi karibuni kwa kuwa tu amepelekwa Rished Bade, kijana wa Kiislaam mwenye kichwa kilichotulia na rekodi yake iko wazi, lakini hawata itazama, watatazama dini yake. Ngoja utawaona.

Hawa watu huwa ni chuki za wao kutofanya, mimi huwa nawaambia, kupitisha miaka kwenye kuta nne kutokea kwenye ukoo ambao hauna exposure ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Hata wafanye vipi wana miaka mingi sana ya kujifunza kutoka kwa Waislaam, sisi huanza chuo ndio tukaenda shule wao huanza shule ndio wakaenda chuo.
 
Kuna watu humu kila akileta mada ni UDINI...Ofisi ya serikali ikiwa na waislamu wengi tu eti Udini...yani upuuzi upuuzi...ebu mtoa mada atoe mchanganuo wa mashirika yote kama PSPF,LAPF,PPF,TRA kote wamejaa waislam hivi watu hawana mambo ya kujadili? MLETA MADA pole kwa kukosa kazi jaribu ujasiriamali
 
Ramadhan Dau amekuwa akisikika mara nyingi akisema enzi za wakristo kula zimepita maana walikula sana enzi za awamu ya kwanza!
Nadhani anazidi kupigilia mstari kuwa hawa jamaa hata wakienda shule, upuuzi hauwaishi!
Vipi una chuki binafsi na Dr.Dau nini? unaweza kututhibitishia aliyasema wapi maneno hayo? utupe na context yake Mkuu!
Tatizo hapa ni kuwa hamjazoea kuwaona Waislamu katika posti kama hizo! mnataka kila kitu muwe nyie tu... lakini taratibu tutawafanya mzoee!
jasusu said:
Ndio kuna haja. Wakati wa Nyerere inaeleweka pato letu lote lilitumika katika vita vya Uganda.Nikisema pato letu namaanisha fedha za kigeni.
...ili kumuweka Obote madarakani!
 
Kutamalaki kwa udini nchini ni matunda ya JK. Jiulize kwanini huyo Ramadhan Dau haondolewi hapo wakati kalivuruga shirika? Jibu ni kwamba analindwa hapo kwa sababu ni Muislam.
 
Kutamalaki kwa udini nchini ni matunda ya JK. Jiulize kwanini huyo Ramadhan Dau haondolewi hapo wakati kalivuruga shirika? Jibu ni kwamba analindwa hapo kwa sababu ni Muislam.
Kalivuruga kivipi?

Sijamsikia na kashfa kama wale wa PPF waliotafuna mabilioni ya pesa kule Tanga.
 
Kutamalaki kwa udini nchini ni matunda ya JK. Jiulize kwanini huyo Ramadhan Dau haondolewi hapo wakati kalivuruga shirika? Jibu ni kwamba analindwa hapo kwa sababu ni Muislam.

amelivuruga vipi toa ushahidi...akikalia nafasi ya juu serikalini muislam inakuwa nongwa " Jinyongeni sasa" nasikia hata Baraza la mawaziri waislamu ni wengi kuliko wakristo? KAJIPANGE na propaganda zako za kitoto tupa kule
 
Kutamalaki kwa udini nchini ni matunda ya JK. Jiulize kwanini huyo Ramadhan Dau haondolewi hapo wakati kalivuruga shirika? Jibu ni kwamba analindwa hapo kwa sababu ni Muislam.

Kalivuruga Shirika? matunda ya UDOM haya, hawajui hata historia za mashirika yao ya umma maskini. Unalijua vizuri NSSF kijana. usichangie kwa kuwa umechangia, sharti jiulize impact ya unachochangia.
 
Kalivuruga Shirika? matunda ya UDOM haya, hawajui hata historia za mashirika yao ya umma maskini. Unalijua vizuri NSSF kijana. usichangie kwa kuwa umechangia, sharti jiulize impact ya unachochangia.

Udini unamsumbua
 
Wote ni watanzania tuijenge nchi yetu,tupambane na mafisadi kwani ndio waliochoma moto bot na wizara ili kuficha hazina na list ya wahujumu uchumi.lejea ile kauli ya NYERERE KUHUSU ubaguzi, UBAGUZI NI Mmbaya TUSIBAGUANE
 
Wizara zote Tanzania za serikali pamoja na mashirika ya umma kumejaa wakiristo watupu mbona usemi umeona NSSF tu.
 
Kweli mdomo nyumba ya maneno....
 
Kweli nyani haoni kundule!
Hivi udini unaofanywa NECTA huuoni
Udini unaofanywa PPF huuoni au kwa vile PPF MD ni mkristo.
Udini wa PSPF huuoni au kwa vile PSPF MD ni mkristo.
Udini wa TRA hujaona au kwa vile CG Mkisto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…