KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani.

Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya dakika 30, hii inakera sana
 
Waliwahi kunipa depration haloo andaansaikolojia yako vizuri

Jambo la ajabu wao wanakomaa na mshahara na mwajiri ile mbaya
 
Zile attachment ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria?
Termination letter na certificate of clearance lazima ziwe na mhuri wa muajiri

Bank statement lazima iwe na mhuri wa bank

Ile card ya NIDA na ya NSSF sio lazima ziwe na mhuri unless ni copy
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani.

Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya dakika 30, hii inakera sana
Sheria zilianzishwa na JPM
 
Nssf wamenyooka kwakweli
Me nilifanyaga kazi na UNDP mkataba ulivoisha nikapeleka kila kitu nssf nikalipwa within 3 weeks
Mhhh...ulilipwa mafao yako yote au ulilipwa fao la kutokuwa na ajira? Halafu hili fao la kutokuwa na ajira wanatumia basic salary au ile take home?
 
Back
Top Bottom