NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi?

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,590
4,277
Huwa najiuliza

Kama kweli NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi

Kwanini wafanyakazi wasipewe uhuru wa kuchagua wapi wajiunge ili kuweka ushindani?

Nafikiri kukiwa na ushindani walau kidogo mafao kwa wastaafu yataboreka tofauti na ilivyo sasa ambapo mashirika hayana haja ya kuleta ubunifu kwani iwejua iwe mvua soko ni lao (hawana mshindani)
 
Na Ndio maana pesa ya mwanachama wanatumia wanavyotaka na kuwekeza kwenye miradi ya hovyo kabisa hawajali na kuna jambo najiuliza iwapo hela zilizopo Nssf ni zetu wanachama Kwa nn wanawekeza kwenye miradi pasi na ruhusa ya mchangiaji
 
Huwa najiuliza
kama kweli NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi
Kwa nini wafanyakazi wasipewe uhuru wa kuchagua wapi wajiunge ili kuweka ushindani?
Nafikiri kukiwa na ushindani walau kidogo mafao kwa wastaafu yataboreka tofauti na ilivyo sasa ambapo mashirika hayana haja ya kuleta ubunifu kwani iwejua iwe mvua soko ni lao (hawana mshi
Psssf-Public sector social security fund. (PUBLIC SECTOR)
 
Back
Top Bottom