katika sakasaka yangu viwanja siku za karibuni mitaa ya kigamboni nimekuta mfanyabiashara Yusuf Manji ana eneo kubwa sana la ardhi ambalo ajaliendeleza au unaweza kusema land banking.
kuna vibao tu vya onyo usiingie kwenye eneo hili.
Leo kwenye gazeti la guardian NSSF wametangaza tenda na kutaka watu wenye heka zaidi ya 100 kwenye maeneo ya kigamboni wawauzie.
maswali mengi nimejiuliza nimekosa majibu.....
Hizo ndio deal za mjini kaka,na ukisikia watoto wa mjini ndio hao,sio kwenda kushinda leaders jumapili kwenye ulevi au club sunciro ukapiga kelele zisizo maana ukasema wewe mjanja.
hapo umenena.Dau anawatafutia hela CCM na makada wake kupitia manunuzi kama haya. Mmeimulika sana BOT lazima zitafutwe njia mbadala. CCM hawashindwi bwana!
katika sakasaka yangu viwanja siku za karibuni mitaa ya kigamboni nimekuta mfanyabiashara Yusuf Manji ana eneo kubwa sana la ardhi ambalo ajaliendeleza au unaweza kusema land banking.
kuna vibao tu vya onyo usiingie kwenye eneo hili.
Leo kwenye gazeti la guardian NSSF wametangaza tenda na kutaka watu wenye heka zaidi ya 100 kwenye maeneo ya kigamboni wawauzie.
maswali mengi nimejiuliza nimekosa majibu.....
Mahusiano ya Manji na NSSF ni kama ya chatu na mbwa - mbwa akimwona chatu nguvu humwishia na pamoja na kujua atageuzwa kitoweo, hujipeleka mwenyewe aliwe. Na ukimwona Manji na NSSF wanaanza kuchangamkiana, ujue mafisadi CCM tayari wameshanawa na kukaa mkao wa kula. Masikini Watanzania ni kama vile tuko msituni tumezungukwa na wanyama wakali, sasa tukimbilie wapi ? Mbele Rostamu, kushoto Manji, kulia Patel na nyuma CCM. Kaazi kweli kweli !!
Dau anawatafutia hela CCM na makada wake kupitia manunuzi kama haya. Mmeimulika sana BOT lazima zitafutwe njia mbadala. CCM hawashindwi bwana!
Nenda wewe na ngozi nyeusi kwa Dr Dau kama atakupa hilo deal.....ati wanasema mhindi ukimpa dili analipa mswahili anaingia mitini
Mbaya zaid uwe kafri!!!
inamaana kwake thamani ya kazi inapimwa kuanzia na Imani ama ? au mimi sijaelewa haya maneno ?Mbaya zaid uwe kafri!!!