Nssf calls!

Ba-Zuri

Member
Feb 2, 2012
7
0
Jamani wan JF NSSF wameanza kupiga cm ila wanadai wana counter check sijui wanacho counter check ni nini me nimepigiwa na tigo namba mdada kajitambulisha na kuniita jina fresh kisha akaniuliza kama nilifanya interview post gani nikamwambia basi...
 
kazi ipo, nimepigiwa pia
 
wana counter check nini, mbn haieleweki, tuambiane jamani kama kuna lolote linaloendelea kwa wale mliopigiwa simu
 
Mimi pia ni 1 wa waliopigiwa, hawa jamaa ni wababaishaji mno, huyo dada nilimjibu nilifanya akasema sawa, then nikamuuliza ni kwann mnanipigia kuhakikisha km ni kweli wakati ni nyie ndo mliniita kwenye intrw na kunifanyisha test na siku ya test kuna form tulisaini je ni kwann msitumie details zile? akajibu kuna watu wa mikoani kipindi kile hawakufanya ndo wanawaita ili waje wafanye kesho.
Nilivyomwambia ktk details zangu hapo hakuna hata sehemu moja ambayo imeandikwa tofauti na dar, je mmetumia kigezo gani kuniweka kwenye watu wa mikonani? majibu aliyonipa hata hapa jf sitaki kuyaandika
 
ushafeli interview, hivi ungewajibu kuwa ulifanya peke yake ungepungukiwa nini?
 
Mimi pia ni 1 wa waliopigiwa, hawa jamaa ni wababaishaji mno, huyo dada nilimjibu nilifanya akasema sawa, then nikamuuliza ni kwann mnanipigia kuhakikisha km ni kweli wakati ni nyie ndo mliniita kwenye intrw na kunifanyisha test na siku ya test kuna form tulisaini je ni kwann msitumie details zile? akajibu kuna watu wa mikoani kipindi kile hawakufanya ndo wanawaita ili waje wafanye kesho.
Nilivyomwambia ktk details zangu hapo hakuna hata sehemu moja ambayo imeandikwa tofauti na dar, je mmetumia kigezo gani kuniweka kwenye watu wa mikonani? majibu aliyonipa hata hapa jf sitaki kuyaandika

Umejibu vyema mkuu, umefanya jambo la maana kumbana kwa maswali. Watu wasikutishe mkuu, watu wasiojiamini siku zote huwa ni waoga kama kunguru.
 
kama umepigiwa iwe sababu ya kukupa hope kuliko kulalamikia utaratibu, mtu brif zaid wanauliza nn.
 
Umejibu vyema mkuu, umefanya jambo la maana kumbana kwa maswali. Watu wasikutishe mkuu, watu wasiojiamini siku zote huwa ni waoga kama kunguru.

ujuaji muda mwingne unaponza.
 
Si bora awaambie tu kama katumwa kuuliza kama kuna mwenye japo kilo ahakikishiwe ajira?
Muulizeni
 
Sasa ni hivi kuna watoto wa wakubwa fulani hawakuweza kufanya hiyo interview so ndio maana wanairudia kwa hiyo tusichangae kupigiwa simu tuwe tuu wapole...
 
Jamani uoga ni mbaya sana, mm ni bora nikose kazi kihali na sio kuleteana utaratibu ambao haueleweki, nyie mnaogopa msitegemee uoga wenu utawaingiza pale, ni nikipata nitarudi hapa
 
Umejibu vyema mkuu, umefanya jambo la maana kumbana kwa maswali. Watu wasikutishe mkuu, watu wasiojiamini siku zote huwa ni waoga kama kunguru.

Kaka mambo ya kuburuzwa buruzwa inafikia kipindi inatakiwa yakome, km watu hamwapi ajira ni bora msiwape na sio kuleta ubabaishaji, hoja zao hazikuwa na mantiki kabisa,
 
Nakisia kuna watu waliokwenda kufanya oral interview jumamosi iliyopita,aliyenipa hizi habari hakuwepo kwenye ile written interview,but ameitwa kwenye oral interview
nadhani nssf kuna mchezo wanacheza,kama wameona watu ni wengi ni bora wangetumia utaratibu mwingine waite watu wachache tu,kuliko kusumbua kundi kubwa vile
 
Nasikia kuna maluki 20 wa kigogo hawakuepo kwenye mkusanyiko wa IFM na wamatakiwa wapate deal, ili kuweka mchakato sahihi wameamua kuitisha ili waonekane kua walifanya aptitude. Walengwa walikua wale 20 ila kundi lililofuata ilikua sindikiza mwali kashatolewa mahali. Mi pia nilikuemo kwenye mchakato wa APTITUDE ila nilipoona mpango wa KUANDIKA JINA akati nilipewa namba, niakajua imekila kwetu na wamenipotezea muda.......
 
mi nilipoteza imani pale pale, nawashangaaa wanaoendelea kujipa moyo.
 
Back
Top Bottom