NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima?

Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa!

Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben, Azory, Mdude, Kipanya, Soka na wengine wote? Mungu mkubwa wakarejeshwa makwao salama? Ni mkata switch au nani? Labda yeye kama ndiye ibilisi mwenyewe!

Nani atakereka kusikia kama kuna rasilimali zetu fulani kwamba labda kuna genge linalozifuja kwa maslahi yake binafsi?

Nani atakereka labda kusikia kama kuna Futungo mahali, tukawaweka panapo wastahili?

Au kuwa ni nani atakareka labda kusikia kama kunachofanyika mahali kitu fulani kinyume cha maslahi ya taifa hili? Hapa sasa si ndipo palipokuwa pa kupiga kambi kwa kila mpambana na maovu ili kupata pa kuanzia?

Huku hatimaye si ndiko kungekuwa kufufuka kwa zile zama pendwa za: "tuambie, yuko wapi, kajificha wapi na anafanya nini kuhujumu uchumi," zilizohakikisha uwepo wa fursa sawa kwa wote?

Ashukuriwe bwana wa majeshi, ama kwa hakika NRNE ni mpango wa Mungu!
 
20250821_122756.jpg
 
Kila jambo na wakati wake.
Hakuna jiwe kusalia juu ya jiwe.
Wacha wahuni na washirika wao waanikwe hadharani
 
Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima?

Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa!

Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben, Azory, Mdude, Kipanya, Soka na wengine wote? Mungu mkubwa wakarejeshwa makwao salama? Ni mkata switch au nani? Labda yeye kama ndiye ibilisi mwenyewe!

Nani atakereka kusikia kama kuna rasilimali zetu fulani kwamba labda kuna genge linalozifuja kwa maslahi yake binafsi?

Nani atakereka labda kusikia kama kuna Futungo mahali, tukawaweka panapo wastahili?

Au kuwa ni nani atakareka labda kusikia kama kunachofanyika mahali kitu fulani kinyume cha maslahi ya taifa hili? Hapa sasa si ndipo palipokuwa pa kupiga kambi kwa kila mpambana na maovu ili kupata pa kuanzia?

Huku hatimaye si ndiko kungekuwa kufufuka kwa zile zama pendwa za: "tuambie, yuko wapi, kajificha wapi na anafanya nini kuhujumu uchumi," zilizohakikisha uwepo wa fursa sawa kwa wote?

Ashukuriwe bwana wa majeshi, ama kwa hakika NRNE ni mpango wa Mungu!
Aisee
 
Polepole nahisi ataongea kuhusu Tallying center ya Masaki walikuwa wanafanya nini kupik@ matokeo.
Hivyo alieye enda kwa Muumba na aliye rithi hawakushinda kihalali. Hivyo mrithi siyo mwenye $ halali.
Anamwaga mboga tu leo.
Sema simuamini Sana Kama anaweza kufanya jeuri hiyo.
Watamzuia wazee wake.
 
Huenda hata mfumo wa utoaji haki ulivyowekwa kuhakikisha upinzani hauwezi kuwa na chao popote.
 
Tuandae VPN mapema

Kwani huyu mkata switch asingependa kina Ben, Azory, Mdude, Kipanya, Soka na wote wakapatikana labda Polepole ndiko anokotupeleka hatimaye?

Au huyo mkata switch asingependa Futungo tuwajue na kuwadhibiti kama taifa?

Mkata switch huyo kumbe atakuwa anataka nini hasa?
 
Kwahiyo kwa Mujibu wa slowslow, ccm imeanza kua mbofu 2021 hapo??
 
Back
Top Bottom