Now the government is happy with JF as it receives a 'coated pill'!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Nimeona kasi ya viongozi wa juu wa serikali kuilaani mitandao ya kijamii imepungua. Na hivi karibuni kiaina viongozi wamekuwa wakiisifu mitandao ya kijamii na wakiiomba iwe pia inawashauri wanaserikali badala ya kuwakosoa.
I think imefika mahala viongozi wa juu wa serikali wameanza kuona umuhimu wa mitandao, largely pia kwa kuwa wana mitandao wamepevuka na pia kwa kuwa mods wanafanya kazi zao vilivyo za kuzuia toxic contents kuwa viewed on air.
Hii strategy ya kuinywesha serikali kloroquin iliyopakwa sukari naona imeanza kuzaa matunda.
Nawapongeza wana JF wote pamoja na Mods kwa hili.
 
Mkuu nenda kwenye kichwa achana na mikia. Kama mwenyewe ametamka hilo mwaga data!
 
Yaani wanatamani hata kwenye vijiwe vya bia tusiongelee mapungufu ya Serikali, this is madness
 
Back
Top Bottom