Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

trezguet

Member
Oct 21, 2012
33
4
Wanajamvi ni dhahili kuwa sasa imefika kipindi suala la zzk liwekwe kapuuni then tuendele na mambo mengine ya msingi coz ipo wazi tunakaa humu ndani tunabishana na vijana wa lumumba kwa mambo yasiyo na mashiko.
Mfano 1:huwezi sema zzk ni maarufu kuriko CDM.if yeye ni maarufu basi aanzishe chama chake.
2:mfano tumeuona kwa akina hamad rashid wa CUF
So no way out we need kuwaacha hao.
 
Tupo wachache sana wenye mtazamo kama huu wengi tunafwata mkumbo hatakujua kuwa tunafanya nini
 
Wanajamvi ni dhahili kuwa sasa imefika kipindi suala la zzk liwekwe kapuuni then tuendele na mambo mengine ya msingi coz ipo wazi tunakaa humu ndani tunabishana na vijana wa lumumba kwa mambo yasiyo na mashiko.
Mfano 1:huwezi sema zzk ni maarufu kuriko CDM.if yeye ni maarufu basi aanzishe chama chake.
2:mfano tumeuona kwa akina hamad rashid wa CUF
So no way out we need kuwaacha hao.

Great sinker
 
Kama uchaguzi ungefanyika mwanzoni mwa mwaka 2009 kabla ya kumfukuza David Kafulilah CHADEMA ilikuwa inashinda karibu majimbo 5 ya ubunge katika mkoa wa Kigooma. Katibu mkuu Dr. Slaa alichukua hatua za kinidhamu dhidi ya Davidi kafulila, kwa kumfukuza kazi zote alizokuwa amepewa makao makuu ya Chama. Kitendo hicho kiliwaudhi sana wana Kigoma. Hivyo waliamua kuonyesha support yao kwa Kafulila kwa kuhama naye kwenda NCCR-Mageuzi (kwa kuhamisha Kura). Wanakigoma waliamua kuinyima Chadema Kura za wabunge na Madiwani kwani macandidate waliokuwa wazuri kugombea kupitia CHADEMA walihamia NCCR Mageuzi.

Mimi naamini kama Dr. Slaa asingefanya uncalculated move aliyoifanya wakati ule majimbo yafuatayo pamoja ana wabunge wake yalikuwa ya CHADEM A, David Kafulila (Kigoma Kusini), Felix Mkosamali (Muhambwe), Agripina Buyogera (Kasulu Vijijini) na Moses Machali wa (Kasulu Mjini), Zitto Kabwe (Kigoma kaskazini)

Kosa kama hilo la mwaka 2009 linaweza likajirudia tena, this time around wanaofanya kosa hilo ni Kamati Kuu ya CHADEMA kwa kujaribu kuja na dhana ya kuwa hakuna mtu maarufu kuliko CHAMA hivyo basi wakimfukuza Zitto hakuna madhara makubwa wanaweza kuyapata. CHADEMA inaweza ikajikuta imeshindwa kushika dola mwaka 2015 kwasababu za tofauti za Kamati Kuu na Zitto Kabwe. Hili suala lisipoangaliwa vizuri historia sasa sio itajirudia ila itakuwa scled up kutoka effect za kukosa madiwani Kigoma (2010) kwenda kushindwa kushika Dola (2015)
 
So what huyo kafulila ameenda NCCR wakamfukuza uwanachama kwasababu ya usaliti so inaonekana wanakigoma wengi ni ma traitor (wasalit) kwenye siasa kwahiyo bora waendelee na bongo flava na soka tuu mm nasema bora watuondolee huyu snitch ZZK
 
Pumba zote hakuna mchele hata punje moja,chadema ni taasisi inaongozwa kwa mujibu wa katiba,kanuni na maadili,siasa ulizozielezea ziko ccm na wala sio chadema.
Je unalijua jeshi la wananchi? Unajua kabla halijabadilishwa jina lilikuwa linaitwaje,unajua nini kilitokea kabla ya kubadilushwa jina?
Unamjua Oscar Kambona? Alikuwa maarufu na alikubalika ndani ya jeshi na ndie aliwasihi wanajeshi baada ya kuasi,Mwl Nyerere hakuwa anakubalika jeshini kama Kambona,nae akavimba kichwa,Nyerere akamtimua,nn kilitokea?
Zitto anachokifanya ni marudio,hata Kaburu alitimuliwa.hatuwezi kuwa na chama cha kumnyenyekea msaliti na mhaini.
 
Wanajamvi ni dhahili kuwa sasa imefika kipindi suala la zzk liwekwe kapuuni then tuendele na mambo mengine ya msingi coz ipo wazi tunakaa humu ndani tunabishana na vijana wa lumumba kwa mambo yasiyo na mashiko.
Mfano 1:huwezi sema zzk ni maarufu kuriko CDM.if yeye ni maarufu basi aanzishe chama chake.
2:mfano tumeuona kwa akina hamad rashid wa CUF
So no way out we need kuwaacha hao.
Kama si maarufu mbona kamati imenywea?
 
na wewe unafanya nini????
 
CCM na wapambe wa kabwe ndiyo wanao taka tumuongelee .Unajua kabwe alinunua sana waandishi na msaada wake toka CCM wanataka awe habari kila siku wakati Chadema wamesha maliza kazi wanangoja kumsukuma nje .Kabwe anzisha chama chako kaka mapema una watu wengi pambana na Chadema maana huwezi kupambana na CCM wewe ndiyo mkono wa kinywani .
 
Sioni kwanini huyu hafukuzwi ili tuachane na habali zake maana anatukela yeye si zaid ya chama,afukuzwe ili watu tusonge mbele amekua kila siku ZT,ZT,ZT,ZT,ZT,ZT.

Hivi niihoji hiyo CC Kwanini hamtoi maamuzi, yani nanyi amewapanda nyote msijue kua kija kisha potea mkamfukuza naona au kuhisi CC Ya chama nayo inakua lege lege fukuzeni huyo hatakiwi vijana tupo wengi hatutashidwa halakati mkiacha kumfukuza kijana atajiona kakioa Chama.
 
mh! Nilivoona ZZK nikakumbuka kiwanda cha ZANA ZA KILIMO(mbeya) kilikua kinatengeneza zana imara sana lakini kikauwawa na adui ubinafsishaji VIVA KILIMO KWANZA.
 
Pumba zote hakuna mchele hata punje moja,chadema ni taasisi inaongozwa kwa mujibu wa katiba,kanuni na maadili,siasa ulizozielezea ziko ccm na wala sio chadema.

Unamjua Oscar Kambona? Alikuwa maarufu na alikubalika ndani ya jeshi na ndie aliwasihi wanajeshi baada ya kuasi,Mwl Nyerere hakuwa anakubalika jeshini kama Kambona,nae akavimba kichwa,Nyerere akamtimua,nn kilitokea?
Zitto anachokifanya ni marudio,

Lakini kwa bahati mbaya sana Mzee wa kutoa Mchele huwezi ku-quote hata kifungu kimoja cha katiba unachoweza kusema kuwa kimevunjwa na Zitto.

Pili Issue ya Kambona usiwadanganye wananchi unless hujui historia ya nchi hii, si Nyerere wala Kamati kuu ya TANU ilimfukuza Kambona, Kambona hakufukuzwa. Nyerere na Kambona (TANU) walipishana kwenye Ideology ya Chama, Nyerere alikuwa anataka siasa ya Ujamaa na Kambona alikuwa anataka tufuate siasa ya Soko Huru, Leo hii kwa uelewa wako kiongozi who was Right? With Time Kambona ameprove kuwa alikuwa sahihi, Pamoja na kushindwa kukiri wazi wazi kuwa Kambona alikuwa sahihi Mwinyi na CCM walimuomba Kambona arudi Nyumbani (tena kabla hata ya Kifo Cha Mwalimu) na Mwalimu hakuwahi hata siku Moja kusema wazi wazi kuwa Kambona alikuwa Mkorofi baada ya siasa yake kuonyesha dalili za ku-fail mwanzoni mwa miaka ya 1980.

With Time Zitto atakuja kuprove kuwa alikuwa sahihi na Mbowe na Kamati yote Kuu ya CHADEMA wataonyesha kuwa waliongozwa na hisia na sio Reality.
 
So what huyo kafulila ameenda NCCR wakamfukuza uwanachama kwasababu ya usaliti so inaonekana wanakigoma wengi ni ma traitor (wasalit) kwenye siasa kwahiyo bora waendelee na bongo flava na soka tuu mm nasema bora watuondolee huyu snitch ZZK

Nadhani hauko sahihi kudhani kuwa kwa vile Kafulila alifukuzwa kwa makosa fulani basi hata Zitto atakuwa mkosaji kama Kafulila kwa vile wote wanatoka Kigoma. Hii Ni sawa na Kusema Freeman Mbowe kama anatoka Mkoa wa Kilimnjaro akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA ataisababishia CHADEMA Kufa kama mwenziye Augustine Lyatonga Mrema aliyetoka Mkoa wa Kilimanjaro akiwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi alisababisha matatizo na kuipelekea NCCR-Mageuzi Kufa. Umeona dhana yako ya kufananisha watu inavokosa mashiko?
 
Brother hujaeleweka huna logic ww
 
Back
Top Bottom