Sioni kwanini huyu hafukuzwi ili tuachane na habali zake maana anatukela yeye si zaid ya chama,afukuzwe ili watu tusonge mbele amekua kila siku ZT,ZT,ZT,ZT,ZT,ZT.
Hivi niihoji hiyo CC Kwanini hamtoi maamuzi, yani nanyi amewapanda nyote msijue kua kija kisha potea mkamfukuza naona au kuhisi CC Ya chama nayo inakua lege lege fukuzeni huyo hatakiwi vijana tupo wengi hatutashidwa halakati mkiacha kumfukuza kijana atajiona kakioa Chama.
mkuu, kamati kuu yenye wajumbe kama lema itakuwa na hekima/busara kweli? nahisi hata uamuzi waliouchukua ulitawaliwa na jazba plus chuki na ndio maana kwa sasa wamekwama!!!
kama chama ni vema tukafanya mapitio ya sifa za wajumbe kamati kuu ktk katiba kuepuka mihemko ktk maamuzi in future.