Asange anamwaga email za Clinton soon wataanza kutafutana.trumpa amepanic, imebidi avujishe picha za utupu za mkewe ili kuzima hoja za veterans na gold star families, atulie aangalie jinsi kuwasilisha mada, maana leo kazua mengine tena anamwita clinton DEVIL.
Trump mpaka sasa hivi ameshapoteana sana, yaani wamemprovoke kidogo tu yeye anatoa maneno mengi mengine hayafai, wiki iliyopita polls yeye alikuwa anaongoza haya tangu ijumaa iliyopita mpaka leo meza imegeuka, anaendelea kukosa support kwenye minority groups, ambacho trump ashukuru ana wale wafuasi ambao ni "born here here die here here" yaani kwamba huwambii kitu kwa trump hata mseme nini.Asange anamwaga email za Clinton soon wataanza kutafutana.
Trump mpaka sasa hivi ameshapoteana sana, yaani wamemprovoke kidogo tu yeye anatoa maneno mengi mengine hayafai, wiki iliyopita polls yeye alikuwa anaongoza haya tangu ijumaa iliyopita mpaka leo meza imegeuka, anaendelea kukosa support kwenye minority groups, ambacho trump ashukuru ana wale wafuasi ambao ni "born here here die here here" yaani kwamba huwambii kitu kwa trump hata mseme nini.
Unajua Mkuu Huu uchaguzi ukikuwa ni ngumu kuutabiri sasa huyu mtu anatoa maneno ya kashfa kwenye makundi madogo madogo yaani anazidi kumpa chansi clinton, anazidi kutengeneza umbwe kwenye chama chake. hawa ni warepublican waliotangaza waziwazi kumpigia kura clinton.Some of his key supporters especially blue collar voters, wanaanza kugeuka. Hillary kawaongeza after the convention. Tim Kane naye kampa edge cos he relates with them lakini pia the likes of Joe Biden (in the same aspect) wakianza ku campaign for Hillary...Trump should watch out.
Unajua Mkuu Huu uchaguzi ukikuwa ni ngumu kuutabiri sasa huyu mtu anatoa maneno ya kashfa kwenye makundi madogo madogo yaani anazidi kumpa chansi clinton, anazidi kutengeneza umbwe kwenye chama chake. hawa ni warepublican waliotangaza waziwazi kumpigia kura clinton.
Richard Armitage, former deputy secretary of state
Hank Paulson, former treasury secretary
Brent Scowcroft, former national security adviser
Richard Hanna, New York congressman