Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?


kweli wakati ni ukuta! Siku hizi wanasoma novel za kisoro sana
 
1.The River Between
2. I will marry when I want
3. The trial of Dedan Kimathi
4. Make the corps walk
5. Secreat Defender
6. Tiga Mumba
7. Zawadi ya ushindi
8. Hiba ya wivu.
 
hivi Ben Mtobwa na Musiba nani mkali?


Kabla sijaanza kusoma novo za J. H. Chess nilikuwa namwabudu kinoma Musiba. Nilipogundua kumbe source yake ni Chess nikamdharau moja kwa moja.
 
Hivi na Ngoswe penzi kitovu cha uzembe na hawala ya fedha zimo??

Ukiachia hizi napenda Song of Lawino, pia kusadikika.
 

mirad bubu ya wazalendo ya gabriel luhumbika
 
1. Zawadi ya ushindi
2.pesa zako zinanuka
3.Rosa mistika
4.Pande na ukimwi
5.Atia na Kitutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…