Nouse maid & child trainer needed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nouse maid & child trainer needed

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CHE GUEVARA-II, Jul 11, 2012.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Natafuta mfanyakazi wa kike mwenye uzoefu katika mapishi na anayeijua FOOD&NUTRITION vizuri (awe na cheti) pia awe na taaluma ya ku-train mtoto katika malezi (kumfundisha kazi mbalimbali, kumfundisha mtoto apende kujisomea, kuchora n.k).

  Au ni nursery school gani nzuri Dar (inayoweza kumfanya mwanangu apende kujisomea, ajifunze kuchora, kuwa social, mchangamfu n.k), mimi niko mbali naye - huwa naonana naye kwa muda wa wiki moja au mbili tu then naachana naye kwa wiki 4 hadi 6.
   
 2. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nouse = House! Duh, sorry!
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Funguka zaidi mamaaake! Utamlipa shs ngapi?
  Hapo atakapofanya kazi kuna watu wengine wanaishi? Au watakua waaili yeye mfanyakazi na mtoto tu?
  Ni wapi hasa?, Dar? Moro? Tanga?
   
Loading...