Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,286
- 51,898
Sasa unaleta maringo ya nini wakati toy lako Hata network ni tatizo?Nashkur kwa ofa lakin kuna brands situmii hata kwa bure. Simu sio suala la mawasiliano tu. Inaonyesha hata namna yako ya kufikiri. (Usinifokee. Nisamehee. Nimeshtukia ukweli umenitoka)
Yan hiki kitoy changu kilichoandikwa samsung note 8 ukiwa na hasira unakipiga ukutan. Kinaudhi. Kinadhalilisha brand kabsa. Itel ya ram 1 inakizid kasi.Sasa unaleta maringo ya nini wakati toy lako Hata network ni tatizo?
Uache kudharau wenye simu zao sasaYan hiki kitoy changu kilichoandikwa samsung note 8 ukiwa na hasira unakipiga ukutan. Kinaudhi. Kinadhalilisha brand kabsa. Itel ya ram 1 inakizid kasi.
Jibu ulopewa hapo juu ni sahihi sana mkuu.Hongera sana mkuu. Mi ni mpenz wa samsung miaka yote hasa galaxy na note series ila nahis huwa napigwa kwenye hili tatzo. Alaf unapigwa simu ni mpya na kila kitu. Yan hata itel ya ram 1 inaizid speed ya kurespond. Hata kuuliza tu salio et inajitafakari! Lakin sitahama hii brand hata kama nokia wananishawishi kwa kuhamia android
note 8 hata isisome line, kuna mtu hatakuelewa ukitaka kumpa tecno.Uache kudharau wenye simu zao sasa
Hahahahanote 8 hata isisome line, kuna mtu hatakuelewa ukitaka kumpa tecno.
hizi mashine nyingine ni zaidi ya simu bro.
japo kuna simu zimejizatiti sana kujitangaza, ila nikuekeze tu. ukiona brand yoyote ya maana imetoa simu, chukua ujaribu utafurahi.LG
Brand hii nimetokea kuielewa
Ok.japo kuna simu zimejizatiti sana kujitangaza, ila nikuekeze tu. ukiona brand yoyote ya maana imetoa simu, chukua ujaribu utafurahi.
juzikati hapa nilichukua 1plus 3t simu ina miaka 5 nyuma, ila usipime.
Kwahiyo isiposoma laini utakuwa unanitumia kama calculator sio?note 8 hata isisome line, kuna mtu hatakuelewa ukitaka kumpa tecno.
hizi mashine nyingine ni zaidi ya simu bro.
simu ina kazi nyingi, na hizo inazofanya nje na kusoma line ndio inaitofautisha simu na vidude vingine.Kwahiyo isiposoma laini utakuwa unanitumia kama calculator sio?
Hivi kumbe Wi-Fi inafanya kazi kwenye simu isiyo na line? Nilikuwa sijui.simu ina kazi nyingi, na hizo inazofanya nje na kusoma line ndio inaitofautisha simu na vidude vingine.
utapigia picha nzuri na kuzihifadhi, utahidhia nyaraka zako nyingine bila wasi wasi. na la zaidi bado una option ya kutumia kwenye wifi.
ndio wifi ni kwa kifaa kisicho na access ya mtandao au kisicho na data, kinachotoa ni hotspot unawasha.Hivi kumbe Wi-Fi inafanya kazi kwenye simu isiyo na line? Nilikuwa sijui.
Sasa kwanini ujitese hivyo wakati unaweza kuwa na Tecno yenye hivyo vyote kwa wakati mmoja kuliko kuungaunga?
Kuna nini unapata kwenye Samsung ambacho mimi nakosa kwenye tecno?ndio wifi ni kwa kifaa kisicho na access ya mtandao au kisicho na data, kinachotoa ni hotspot unawasha.
note 8 imepoteza point moja mhimu, nguvu ya mtandao, sio kutosoma line kabisa, haiwezi kuwa sawa na tecno hata siku moja.
Nadhani inategemea na simu ina band zipi kama walivyosema wadau na iko katika ubora upi kama ni refurbished.Hongera sana mkuu. Mi ni mpenz wa samsung miaka yote hasa galaxy na note series ila nahis huwa napigwa kwenye hili tatzo. Alaf unapigwa simu ni mpya na kila kitu. Yan hata itel ya ram 1 inaizid speed ya kurespond. Hata kuuliza tu salio et inajitafakari! Lakin sitahama hii brand hata kama nokia wananishawishi kwa kuhamia android
hupati QHD kwenye kioo chako,au nakusingizia???Kuna nini unapata kwenye Samsung ambacho mimi nakosa kwenye tecno?
mimi nilikuwa na a5 2017,korean vasion ile simu ilikuwa kisanga aisee.Nadhani inategemea na simu ina band zipi kama walivyosema wadau na iko katika ubora upi kama ni refurbished.
Mimi nina Samnsung note 4 na 5 zote za Korea,mtu alikuja nazo toka huko akaniletea. Linapokuja swala la speed ya internet kwenye hizi simu haswa kama inasoma LTE/4G naziheshimu. Kuna muda unadownload movie inagonga mpaka 3 Mb per second.
Kikubwa ni uelewa kama walivyosema wadau
Cheki hiyomimi nilikuwa na a5 2017,korean vasion ile simu ilikuwa kisanga aisee.
kwanza ina touch msisimko sio poa, ukigusa tu imoo.
hapa ndipo wengi wasiojua huwa wanaanza kuwalaumu tigo na vodaCheki hiyoView attachment 1703403
Sasa kama hii ya wapi maana sion FD AU F ipo mtandaon ni refurbished na mim hua nakurupka sana kununua izi bila kujua izi ishu kama hizi najuaje mkuuHyo ni model ya USA aisee. SM-N950U na CSC code yake ni XAA. Haina major bands za huku bongo, na kuna sehemu ukienda network inakua inapotea kabisa.
Ulitakiwa uwe na International model (SM-N950FD) au Europe model (SM-N950F), hzi ndio zinashika band zote za bongo. Mkienda kununua Samsung refurbished muwe mna hakikisha kwenye model number mwsho ni FD au F ndio hazina shida ya network huku bongo
Sent using Jamii Forums mobile app