Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,191
Vipi IMEI iliyopo kwenye *#06# sio range ya Samsung Galaxy A20?Aisee....... naitia chooni tu hii simu
Vipi IMEI iliyopo kwenye *#06# sio range ya Samsung Galaxy A20?Aisee....... naitia chooni tu hii simu
Jela how????? Kwani simu uliibaNaogopa jela kiongozi
TCRA wakiamua kufatilia Duplicated IMEI wamezitoa wapi wanaweza kudakwa mafundi simu wa K/koo wote sema ndio hivyo TCRA wapo busy na wanaotukana serikali tu basi.Naogopa jela kiongozi
Akiweka imei number original ya simu yako haina shida. Sabab imei ya simu yako hakuna mtu mwingine mwenye nayo. Shida ni sasahivi hapo simu yako ina imei number ya mtu/simu nyingineNaogopa jela kiongozi
Akiweka imei number original ya simu yako haina shida. Sabab imei ya simu yako hakuna mtu mwingine mwenye nayo. Shida ni sasahivi hapo simu yako ina imei number ya mtu/simu nyingine
Mbona IMEI Blanks?
Umenunua ikiwa mpya?Amani iwe nanyi
Nina simu yangu Samsung galaxy A20 Ina tatizo tajwa hapo juu
Kuna jamaa nilimpelekea Kkoo anitatulie tatizo aliniweka town kutwa nzima jioni kanipa simu ipo fresh but baada ya siku tatu tatizo limejirudia tena!
Msaada jamani maana kwenda kushinda kutwa nzima tena kwa yule jamaa hell no......
Natanguliza shukrani
Imei number hamna hapo boss
IMEI hazipo mkuu...!!
Imei number hamna hapo boss
Umenunua ikiwa mpya?
Mbona IMEI Blanks?
Ndio. Lakini number zenyew hazipoBoss huoni tiki hapo?
Ndio. Lakini number zenyew hazipo
Cheki kwny about phone hapa kma kuna number hapo sehem ya imei
View attachment 1504364
Basi ni duplicate ulizowekewaNimecheki zipo boss
Ndugu kwa samsung hiyo ni kawaida mi kila siku inanitoka...solution ni nenda sehemu ya setting,ingia sim card setting washa data afu chagua mtandao mfano mimi tigo iweke 4G option mtandao utarudi na data itasoma 4G piaAmani iwe nanyi
Nina simu yangu Samsung galaxy A20 Ina tatizo tajwa hapo juu
Kuna jamaa nilimpelekea Kkoo anitatulie tatizo aliniweka town kutwa nzima jioni kanipa simu ipo fresh but baada ya siku tatu tatizo limejirudia tena!
Msaada jamani maana kwenda kushinda kutwa nzima tena kwa yule jamaa hell no......
Natanguliza shukrani
Basi ni duplicate ulizowekewa
Ndugu kwa samsung hiyo ni kawaida mi kila siku inanitoka...solution ni nenda sehemu ya setting,ingia sim card setting washa data afu chagua mtandao mfano mimi tigo iweke 4G option mtandao utarudi na data itasoma 4G pia fanya hivyo kwa laini nyingine
Fanya kwa muda afu usubiri ikigoma basi tatizo laini ishawahi nitokea nikawapigia huduma kwa wateja wakasema niende ofisini kwao wakalimalizaYote nimefanya hayo but bila bila boss wangu